Ukabila na Makabila Tanzania
UKABILA NA MAKABILA TANZANIA
Kabla ya Ukoloni watu wa Afrika tulikua tunaishi Kwa amani bila migogoro ya kikabila,lakini mzungu alivyoingia Afrika alitugawa Kwa misingi ya kikabila na kikanda na Kidini.
Lakini mwalimu Julius Kambarage Nyerere Rais wa kwanza wa Tanganyika kwakua alikuwa amesoma alifahamu athari za Makabila na ukabila, hivyo alijaribu kukataza na kufuta Makabila na ukabila.
Hata hivyo baada ya Nyerere kufariki, wazungu walikuja Tena Tanzania na kujaribu kufufua Makabila ambayo kimsingi hugawa na kusabisha migogoro.
Wazungu hufurahi wanapoona mwafrika ametumbukia katika migogoro ya kikabila.
Hivyo waafrika Asilia tunatakiwa tuondoe ukabila na Makabila ilintuishi Kwa amani.
Maoni
Chapisha Maoni