HISTORIA YA TANZANIA
HISTORIA YA TANZANIA
MUUNGANO WA PEMBA AMBAYO ZAMANI ILIITWA TANGA NA UNGUJA AMBAYO ZAMANI ILIITWA ZANZIBAR, ULIO UNDA TANZANIA.
Zanzibar sio nchi Lakini ilivyoungana na Pemba ndio ikaundwa nchi ya Tanzania, ambayo mpaka sasa bado haijapata uhuru.
Hussein Mwinyi si RAIS bali ni Mkuu wa Mkoa wa Zanzibar.Maana kimataifa Zanzibar inajulikana kama Sehemu ya Tanzania, hata kwenye Passport na Visa za wazanzibar kwenye kipengele cha Nationality wanajaza Tanzanian.
Tanzania ni wapi?
Zamani kisiwa cha Pemba kilikua kinaitwa Tanga na Unguja ilikuwa inaitwa Zanzibar, Kisiwa cha Zanzibar ambacho kwa sasa wengi wana kijua kama kisiwa cha Unguja kilikua ni kisiwa chenye sokwe wakubwa.
Baadae kisiwa cha Tanga ambacho sasa kinaitwa Kisiwa cha Pemba waliungana na kisiwa cha Zanzibar ambacho sasa kinajulikana kama kisiwa cha Unguja,Ndipo likapatikana neno Tanzania Kwa kuunganisha Tanga+Zanzibar.
Sababu za Nyerere kuhusika katika kuchanganya udongo wa visiwa vya Tanga na Zanzibar ni kutokana na wapemba wengi kuhamia Pwani ya Tanganyika katika mkoa ambao sasa unaitwa Tanga ya bara.
Nyerere alihusika kuchanganya udongo huo kwa amri ya Malkia Elizabeth wa II wa Uingereza.
Zamani mkoa wa Tanga ulikuwa ni Sehemu ya mkoa wa Pwani Bagamoyo ambayo ipo katika nchi ya Tanganyika.
MAKABILA NA LUGHA
Kabla ya Ukoloni wenyeji walizungumza lugha moja na kuelewana,lakini baada ya Ukoloni mambo yalibadilika baada ya wenyeji kuvamiwa na wazungu pamoja na waarabu, Waarabu na wazungu wakavuruga lugha ya wenyeji hivyo kupelekea kutofautiana kwa kiasi kikubwa. Kwa sasa wenyeji wapo katika Makabila matano.
MAKABILA YAFUATAYO YANATAJWA KUWA NDIO WENYEJI ASILIA WA TANZANIA.
Zamani kabla ya Ukoloni waliongea lugha moja, japo kwa sasa imetofautiana kidogo kutokana na kuharibiwa. Licha ya kuharibiwa lakini lugha zao zinaelekea kufanana.
MAKABILA YAFUATAYO YANAJATWA KUWA NDIO WENYEJI ASILIA WA TANZANIA(PEMBA NA UNGUJA)
1.Wamakonde(Wamakua) kutoka katika visiwa vya Unguja na Pemba.
2.Wamwera kutoka katika visiwa vya Unguja na Pemba.
3.Wapogoro kutoka katika visiwa vya Unguja na Pemba.
4.Waluguru kutoka katika visiwa vya Unguja na Pemba.
5.Wazaramo kutoka katika visiwa vya Unguja na Pemba.
Katika Makabila haya matano ndipo inatakiwa kutoke Viongozi wakubwa wa nchi kama vile Raisi wa Tanzania Pamoja na Mawaziri.
Wenyeji wanaweza kuishi popote ndani Tanzania, pia wana haki ya kuishi katika mkoa wowote ndani ya Tanzania.
*********************************************"****************************
Kwa kifupi kulingana na Historia ya Tanzania,tunaweza kusema Wamakonde,Wamwera,Wapogoro,Waluguru na Wazaramo ndio Wenyeji wa Tanzania yani watanzania halisi.
Makabila Mengine yaliyopo Tanzania ni Watumwa na Wakimbizi kutoka nchi mbalimbali,Watumwa Wameletwa Tanzania kwaajili ya Kulima,Kuchunga mifugo kwamfano Watumwa ni wengi lakini kwa uchache ni kama vile Wasukuma,Wanyamwezi,Wakerewe,Wamang'ati,Wamasai,Wagogo,Wanyaturu,Wanyiramba,Wairaqw au Wambulu nk. Ambao kazi yao ni Kuchunga mifugo na Kulima.
Lakini pia Kuna Wakimbizi na Wasamiaji kwa mfano watu kutoka Mikoa ya Kigoma,Mara,Mwanza,Shinyanga,Kagera,Rukwa,Katavi,Mbeya,Iringa,Njombe, Tanga,nk. Kambi ya Nyarugusu iliyopo Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma imekuwa ikiwahifadhi Wakimbizi na Wasamiaji kwa muda mrefu Sasa.
Waliletwa Tanzania kwa Meli za abiria kisha kusambazwa kwa magari katika mikoa mbalimbali ya Tanzania wengine waliletwa kwa Treni kupitia reli na wengine waliletwa kwa Ndege za abiria na wengine kwa gari.
Kwa sasa Wakimbizi,Watumwa na Wasamiaji wanatakiwa warudi kwenye nchi zao kwa lazima.
Maoni
Chapisha Maoni