WALUTHERI NI DHEHEBU LA KISHETANI
DHEHEBU LA WALUTERI(K.K.K.T) NA PENTEKOSTE NI MADHEHEBU YA KISHETANI
MAKALA YA KUSISIMUA
WALUTERI(Kwa kiingereza Lutheran) au kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania(Kwa kifupi K.K.K.T) ni miongoni ya Dhehebu linalopatikana Tanzania na ni miongoni mwa madhehebu yanayoamini katika kuongozwa na viumbe visivyoonekana(Majini). wao huamini kwamba viumbe Hawa wanaishi katika miili ya binadamu,hivyo muda mwingi wachungaji wa madhehebu ya Kilutheri katika ibada zao hukemea viumbe hawa wasioonekana.
Pia muda mwingine wachungaji hawa hutumia viumbe hawa hawa wanao wakemea katika kufanya miujiza, na kuhubiri injili.
Wachungaji hutumia majini kudondosha watu kanisani(wanawake na wasichana) kwa kudai ni miujiza na wamewatoa mapepo.
Yani kama mchungaji huyu atakunasa katika mtego wao wa kimajini na Mapepo, basi atakuwa kakuweza na utakuwa muumini katika Dhehebu hilo kwa lazima. Injili zao ni za kulazimisha na wanapenda kulazimisha watu kujiunga nao hata wale waliopo kwenye dini na madhehebu yao.
Muda mwingine wachungaji hawa wa kilutheri huwatuma waumini wao kupita nyumba Kwa nyumba kuwashawishi watu kujiunga nao, Jambo ambalo kiuhalisia halikubaliki, huwalazimisha kubadilisha na kujiunga nao, kwa kuwaahidi mambo mbalimbali hasa kuponywa magonjwa na utajiri,kitu ambacho hakipo na watu waliojiunga kwa kutegemea watapona magonjwa yao na kupata utajiri hawakupata vitu hivyo,hata wale wanaojiunga Kwa sababu zingine pia huambulia kujazwa papepo na Mateso lukuki.
Pia wachungaji wa Kilutheri hutoa vitisho Kwa waumini wao hasa wale waliojiunga nao, kuwa endapo watarudi katika Tamaduni zao za awali basi watakufa.
Vitisho hivi vimewafanya watu wengi kushindwa kurejea au kurudi katika dini zao walizotoka kabla ya kujiunga na WALUTERI.
Walutheri huwajaza waumini wao Mapepo na Majini yaleyale wanayoyakemea, na wanapopagawa husema ni Roho mtakatifu.
Dhehebu la Kilutheri lina matawi mbalimbali ya siri na Muda mwingi huwa Walutheri hawa wakiulizwa kama hayo madhehebu ni matawi yao huyakana, kitu ambacho werevu wakiyatazama yanafanana kwa kiasi kikubwa,ni sawa na kukana mtoto wako wa kumzaa. Yafuatayo ni matawi ya Dhehebu la Kilutheri
2.T.A.G(Tanzania Assemblies of God)
3.E.A.G.T
4.Na madhehebu yote yanayojiita "Walokole"
Madhebu haya ya Uongo yameenea sana Tanzania na Afrika mashariki.Madhehebu haya hutumia nguvu za Giza(Majini na Mapepo) kuwarubuni watu katika maswala ya kiroho.
katika Afrika Mashariki nchini Kenya hivi karibuni wamesikika wachungaji wa madhehebu ya kilokole Paul Mackenzie na Mwenzake Ezekiel Odero. Waliowarubuni waumini wao kufunga kula hadi kufa Ili kuonana na Yesu. jambo lililopelekea watu wengi kupoteza maisha. Hii inatuthibitishia kuwa Dhehebu hili la Walutheri (Lutheran) na Matawi yake(PENTEKOSTE) yalivyokuwa hayafai Kwa jamii yetu, Pia yanatakiwa kupitiwa upya au kufutwa.
Picha za waumini wa Dhehebu la Walutheri (K.K.K.T)Wakisali Kanisani
Picha za Dw Swahili maiti zilizozikwa za watu waliofunga kula hadi kupoteza maisha zikiopolewa msituni huko Kenya.
Picha za waumini wa Dhehebu la Walutheri (K.K.K.T)Wakisali Kanisani
Picha za Dw Swahili maiti zilizozikwa za watu waliofunga kula hadi kupoteza maisha zikiopolewa msituni huko Kenya.
Maoni
Chapisha Maoni