Dini za kigeni ni kwaajili ya kuiba rasilimali za Tanzania Soma zaidi........
MUNGU WA MAKABILA YA TANZANIA
Ni Mungu anayepatikana katika tamaduni za Makabila ya Tanzania ukiondoa dini za kigeni.Mungu wa makabila ya Tanzania hausiani na dini za kigeni, yani hapa Sharti uondoe Uislamu na ukristu,Ukristo.ndipo umpate Mungu wa makabila ya tanzania.
Anasaidia sana Mungu wa makabila ya tanzania na ni Mungu mwenye Kila kitu, hukinga watu wake wa Tanzania dhidi ya magonjwa yote na kuwafanya wakakamavu kila siku, Mungu huyu anazuia hata ukimwi,Kansa,Presha, kisukari na Korona. yani ukimfuatisha huyu wewe mtanzania unakuwa salama kila Mahali, hata mtu akitaka kukudhuru ukimtaja mungu huyu anagairi nia yake ya kutaka kukudhuru na kupoa. vilevile mtu huyo hulegea na kukosa nguvu.Mungu huyu wa makabila yote hana masharti yoyote, Wala hakatazi watu kujumuika ila anapenda uchukue tahadhari, pia Mungu huyu hukupa tahadhari katika hatari kwa kukuepusha bila hata wewe kujua.
Jaribu kumtaja kila unapopitia hali ngumu,unapoumwa, au katika mambo yako yote.
sema Mungu wa makabila yote ya tanzania nisaidie. nae Mungu wa Tanzania atakusaidia.
Hata hili suala la mikataba ya biashara kati yetu na nchi nyingine kama tutamtanguliza mungu wa Tanzania, mikataba itakuwa ya mwaka pekee, Ile yenye kuhuishwa kila mwaka. ila tukitegemea dini za kigeni, ni kumaananisha Kila tulichokipata tumepewa na Mungu wao hivyo watakuja kutupora,wanatupora Kwa kutumia mikataba ya muda mrefu kwa sababu wanaona kama tumepewa na Mungu wao kupitia dini zao.hii ni falsafa wengi hawajui.
Mkataba wa DP WORLD tumeporwa rasimali yetu ya bandari kupitia dini za kigeni,sasa kinachofuata Sasa ni kuzifuta dini hizo na kuamua kubaki na tamaduni za Makabila, hili suala linawezekana kabisa, tunashindwa nini kujenga nyumba za ibada na kusajili tamaduni zetu hizi na kukutania huko Ili tuondokane na utumwa huu wa dini za kigeni.
Hata kabla ya kujenga tunaweza kuanzisha jumuiya za kijamii na kukutania nyumbani Kwa zamu. mambo haya yalikuwepo zamani kabla ya ujio wa dini za kigeni na yanawezekana. hata Sasa Kuna baadhi ya watu wanavyama vya kijamii na wanakutana huko nyumbani kwa wanachama,na Kujadili mambo mbalimbali kulingana na makabila yao.wanasaidiana katika matatizo na mambo mbalimbali yahusuyo utamaduni.
Tuchukue hatua tusiendelee kuwa watumwa wa dini za kigeni, nchi yetu huenda ni tajiri sana ila tutaufaidi utajiri huu endapo tutajiondoa kwenye utumwa wa dini za kigeni, Kwasababu wao wanahisi kuwa mali tuliyonayo au tutakayopata tumepewa na Mungu wao hivyo ni haki yao kuja kuichukua. ni mambo ya falsafa haya.
THE GOD OF THE TRIBES OF TANZANIA
It is the God found in the cultures of the Tanzanian tribes excluding foreign religions. The God of the Tanzanian tribes is not related to foreign religions, that is, here you must remove Islam, Roman Christianity and Christianity. That is where you find the God of the Tanzanian tribes.
Is there very helpful to the God of the Tanzanian tribes and is God who has everything, protects his Tanzanian people against all diseases and makes them strong every day, this God prevents even AIDS, Cancer, Presha, diabetes and Corona. that is, if you follow this God, you Tanzanian will be safe everywhere, even if someone wants to harm you, if you mention this god, he will renounce his intention to harm you and cool down. also the person becomes weak and lacks strength. This God of all tribes does not have any conditions, nor does he forbid people to get together but he wants you to be careful, this God also gives you caution in danger by avoiding you without you even knowing.
Try to mention him or her every time you go through a difficult situation, when you are sick, or in all your affairs.
say God of all the tribes of Tanzania help me. and the God of Tanzania will help you.
Even this issue of trade agreements between us and other countries, if we prioritize the God of Tanzania, the agreements will be for one year only, the ones that are renewed every year. but if we rely on foreign religions, it means that everything we got was given to us by their God, so they will come to rob us, they rob us by using long-term contracts because they see that we have been given by their God through their religion. This is a philosophy that many do not know.
The DP WORLD Agreement has robbed us of our port resources through foreign religions, now the next thing is to delete those religions and decide to remain with tribal cultures, this issue is quite possible, why are we failing to build houses of worship and register our cultures and meet there so that we can get rid of each other from foreign religions and be away from this slavery of foreign religions.
Even before building we can establish social communities and meet at home in turn. these things existed before the advent of foreign religions and are possible. Even now there are some people who are members of social groups and they meet there at the homes of the members, and discuss various things according to their tribes. They help each other in problems and various things related to culture.
Let us take steps not to continue being slaves of foreign religions, our country may be very rich but we will benefit from this wealth if we remove ourselves from the slavery of foreign religions, because they feel that the wealth we have or will get has been given to us by their God so it is their right to come and take it. are the things of this philosophy.
Maoni
Chapisha Maoni