DINI ZA KIGENI ZA UISLAMU, UKRISTO, UKRISTU ZAFUTWA TANZANIA
TUZIFUTE DINI ZOTE ZA KIGENI NCHINI ILI KUEPUSHA UKOLONI AMBAO HATA ZAMANI ULITANGULIZA DINI(MISSIONARIES)
Ni mwaka 1958 Nchini Congo ZAIRE ambayo Sasa inaitwa CONGO DRC Ni miaka 65 tu iliyopita ndio mambo haya ya unyanyasaji wa watu weusi yalikuwa ya kawaida sana.Pia Nchini Africa Kusini unyanyasaji wa watu weusi Ilikuwa Jambo la kawaida sana hadi leo hii, Pia Nchini Marekani watu weusi wamekuwa wakiuawa Kwa kupigwa risasi na polisi. Pichani ni Congo DRC, wakati iko chini ya Ubelgiji (Belgian Congo)
Hii picha ilipigwa huko Congo DRC Yani kipindi hicho Zaire.
Wazungu waliwachukia na kuwanyanyasa sana watu weusi na watoto weusi walichukuliwa Kama ndege pori wenye tabia za binadamu.
Na wengine waliwachukulia waafrika kama wanyama wasio na thamani.
Pichani watoto wa kizungu wakimshangaaa mtoto mweusi kwenye kiota(mtoto huyo mama yake ni mtumwa kwa wazungu). sio wazungu tu wanaonyanyasa hata waarabu hunyanyasa sana tena zaidi.
Angalia watoto hao walivyokuwa wanafundishwa ubaguzi wakiwa wadogo,Ili wakikua wafanye Kwa vitendo waswahili husema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo,hivyo mzungu alufundishwa ubaguzi wakiwa Bado watoto wadogo hadi leo hii mambo haya yapo.
Wazungu na waarabu wanataka kurudi tena kututawala. kwanza wameanzia kuleta dini kama zamani walivyofanya wanatumia gharama kubwa kuwekeza kwenye dini Kwa kujenga makanisa Ili baadaye waweze kututawala kirahisi. Mzungu ni mtu mwenye mbinu nyingi anaweza kumtumia mwarabu kama alivyofanya Zanzibar Zanzibar Ilikuwa koloni la mwingereza linaloongozwa na sultani wa Omani.
Kabla ya ukoloni hapo zamani kulitangulizwa dini(missionaries) alafu baadaye ndipo walipoanza kutawala, maana raia wengi wataingia kwenye dini hizo na baadaye watakuja hao wazungu wenye dini zao, na raia watawaona kama Miungu na kutawala.
Falsafa za kidini zinaeleza kwamba taifa muasisi wa dini hiyo ndipo anapopatikana huyo Mungu mnayemwabudu,hivyo watakuja kuchukua mali yao mliyopewa na Mungu wao.
Maoni
Chapisha Maoni