Majini, Mapepo na mashetani yanaliwa ni chakula Soma zaidi.....
MUNGU WA MAKABILA YA TANZANIA
Ni Mungu anayepatikana katika tamaduni za makabila ya Tanzania ukiondoa dini za kigeni.Mungu wa makabila ya Tanzania hausiani na dini za kigeni, yani hapa sharti uondoe Uislamu na Ukristu,Ukristo.ndipo umpate Mungu wa makabila ya tanzania.
Kwa mkoa wa Kilimanjaro Kuna mungu wa Kilimanjaro huyu anatuliza Majini,mashetani na papepo ya waarabu,pia anayala, yani mwarabu ni chakula cha mungu wa kilimanjaro, na ndio maana katika mkoa wa Kilimanjaro mwarabu alipashindwa hakuna misikiti yani akija tu analiwa, Sasa mtu unashangaa mbona hayalipuki sio hayalipuki yameshaliwa tayari na ukileta mengine Mungu wa Kilimanjaro anayala tena, kwahiyo hawezi kuweka majini na mapepo katika mkoa wa Kilimanjaro.hata mizimu ya wazungu pia huwa inaliwa na Mungu wa kilimanjaro, ndio maana mzungu akija Kilimanjaro huwa anatulia na kuanza Kupanda mlima kwa furaha, ni Kwasababu yameliwa, yasipoliwa huwa wanakuwa wakali sana.
Anasaidia sana Mungu wa makabila ya tanzania na ni Mungu mwenye Kila kitu, hukinga watu wake wa Tanzania dhidi ya magonjwa yote na kuwafanya wakakamavu kila siku, Mungu huyu anazuia hata ukimwi,Kansa,Presha, kisukari na Korona. yani ukimfuatisha huyu wewe mtanzania unakuwa salama kila Mahali, hata mtu akitaka kukudhuru ukimtaja mungu huyu anagairi nia yake ya kutaka kukudhuru na kupoa. vilevile mtu huyo hulegea na kukosa nguvu.Mungu huyu wa makabila yote hana masharti yoyote, Wala hakatazi watu kujumuika ila anapenda uchukue tahadhari, pia Mungu huyu hukupa tahadhari katika hatari kwa kukuepusha bila hata wewe kujua.
Jaribu kumtaja kila unapopitia hali ngumu,unapoumwa, au katika mambo yako yote.
sema Mungu wa makabila yote ya tanzania nisaidie. nae Mungu wa Tanzania atakusaidia.
Hata hili suala la mikataba ya biashara kati yetu na nchi nyingine kama tutamtanguliza mungu wa Tanzania, mikataba itakuwa ya mwaka pekee, Ile yenye kuhuishwa kila mwaka. ila tukitegemea dini za kigeni, ni kumaananisha Kila tulichokipata tumepewa na Mungu wao hivyo watakuja kutupora,wanatupora Kwa kutumia mikataba ya muda mrefu kwa sababu wanaona kama tumepewa na Mungu wao kupitia dini zao.hii ni falsafa wengi hawajui.
Mikataba ya Miaka mingi inayofanyika baina ya nchi yetu na nchi nyingine za Ulaya kama mikataba ya madini nk.hutufanya tuwe tumeporwa rasimali zetu, Ili kuwanufaisha kupitia dini za kigeni,sasa kinachofuata Sasa ni kuzifuta dini hizo na kuamua kubaki na tamaduni za Makabila, hili suala linawezekana kabisa, tunashindwa nini kujenga nyumba za ibada na kusajili tamaduni zetu hizi na kukutania huko Ili tuondokane na utumwa huu wa dini za kigeni.
Hata kabla ya kujenga tunaweza kuanzisha jumuiya za kijamii na kukutania nyumbani Kwa zamu. mambo haya yalikuwepo zamani kabla ya ujio wa dini za kigeni na yanawezekana. hata Sasa Kuna baadhi ya watu wanavyama vya kijamii na wanakutana huko nyumbani kwa wanachama,na Kujadili mambo mbalimbali kulingana na makabila yao.wanasaidiana katika matatizo na mambo mbalimbali yahusuyo utamaduni.
Tuchukue hatua tusiendelee kuwa watumwa wa dini za kigeni, nchi yetu ni tajiri sana ila tutaufaidi utajiri huu endapo tutajiondoa kwenye utumwa wa dini za kigeni, Kwasababu wao wanahisi kuwa mali tuliyonayo tumepewa na Mungu wao hivyo ni haki yao kuja kuichukua. ni mambo ya falsafa haya.
Waandishi wakusanye tamaduni zote na kuziweka kwenye maandishi mambo haya yanawezekana. ila sharti tuhakikishe kuwa hakuna mtanzania Kujitambulisha Kwa dini za kigeni suala hili liwekwe kwenye Sheria ndogondogo Kisha baadaye liwekwe kwenye katiba. hizi dini za kigeni zitajifuta zenyewe.
Watu wa ulaya na waarabu wametuletea dini zao kwaajili ya kujinufaisha wao wenyewe, Wala sio Kwa nia nzuri,mwisho wa siku watakuja kutupora rasilimali zote na sisi tutabaki masikini. sio kwamba ni watu wa kuogopwa sana lahasha ni suala la kuweka mikakati Hawa watu watapuputika.
THE GOD OF THE TRIBES OF TANZANIA
It is the God found in the cultures of the Tanzanian tribes excluding foreign religions. The God of the Tanzanian tribes is not related to foreign religions, that is, here you must remove Islam and Roman Christianity, Christianity. Then you will find the God of the Tanzanian tribes.
In the region of Kilimanjaro there is a god of Kilimanjaro who calms the jinn, devils and demons of the Arabs, he also eats it, that is, the Arab is the food of the god of Kilimanjaro, and that is why in the region of Kilimanjaro the Arab was defeated, there are no mosques, that is, when he comes, he becomes a food of Kilimanjaro's God, is eaten, Now you wonder why it doesn't explode, it doesn't explode because, it has already been eaten and if you bring it again , the God of Kilimanjaro will eat it again, so he can't keep jinn, Satan and demons in the Kilimanjaro region. , because they have been eaten, if they are not eaten they become very aggressive.
The God of Tanzanians tribe is very helpful and he is God who has everything, he protects his Tanzanian people against all diseases and makes them strong every day, this God prevents even AIDS, Cancer, Blood pressure, diabetes and Corona. that is, if you follow this man, you Tanzanian will be safe everywhere, even if someone wants to harm you, if you mention this god, he will renounce his intention to harm you and cool down. also the person becomes weak and lacks strength. This God of all tribes does not have any conditions, nor does he forbid people to get together but he wants you to be careful, this God also gives you caution in danger by avoiding you without you even knowing.
Try to mention him every time you go through a difficult situation, when you are sick, or in all your affairs.
say God of all the tribes of Tanzania help me. and the God of Tanzania will help you.
Even this issue of trade agreements between us and other countries, if we prioritize the God of Tanzania, the agreements will be for one year only, the ones that are renewed every year. but if we rely on foreign religions, it means that everything we got was given to us by their God, so they will come to rob us, they rob us by using long-term contracts because they see that we have been given by their God through their religion. This is a philosophy that many do not know.
Agreements of many years held between our country and other European countries such as mineral agreements etc. make us have been robbed of our resources, and to benefit them through foreign religions, now the next thing now is to delete those religions and decide to remain with tribal cultures, this an issue is quite possible, why do we fail to build houses of worship and register these cultures of ours and meet there in order to get rid of this slavery of foreign religions.
Even before building we can establish social communities and meet at home in turn. these things existed before the advent of foreign religions and are possible. Even now there are some people who are members of social groups and they meet there at the homes of the members, and discuss various things according to their tribes. They help each other in problems and various things related to culture.
Let us take steps not to continue being slaves of foreign religions, our country is very rich but we will benefit from this wealth if we remove ourselves from the slavery of foreign religions, because they feel that the wealth we have has been given to us by their God so it is their right to come and take it. this is the things of religions philosophy. most foreign religions based on philosophies.
Authors should collect all the cultures and put them in writing these things are possible. unless we make sure that no Tanzanian identifies with foreign religions, this issue should be included in the by-laws and then later included in the constitution. these foreign religions will erase themselves.
The people of Europe and the Arabs have brought us their religion for their own benefit, and not with good intentions, at the end of the day they will come to rob us of all our resources and we will remain poor. It's not that they are people to be feared, it's a matter of strategizing. These people will disappear.


Maoni
Chapisha Maoni