Tanzania yawa nchi tajiri ulimwenguni
JAMBO AMBALO HUENDA HULIJUI MPAKA SASA KUHUSU TANZANIA
UTAFITI
Tanzania ni nchi Tajiri kuliko nchi zote katika ukanda wa Africa Kwa sababu kuu ifuatavyo
1.Tanzania imeweza kuwalipia ada watoto wa kitanzania kuanzia chekechea hadi kidato cha sita. Jambo hili ni muhimu sana Kwa Taifa lililoendelea, kwani Taifa lililoendelea ni lazima liwe na wasomi wa kutosha.
Pia Pato la Taifa limekuwa Kwa kiasi kikubwa ikiwemo Pato la mtu mmoja mmoja.
Pia Kuna uwezekano kuwa hata nchi za Ulaya huenda hakuna au ni nchi chache sana zilizoweza kulipia ada raia wake mpaka elimu ya juu.
Tanzania huenda ikawa ni miongoni mwa nchi Tajiri zaidi Duniani.
Kama unapingana na UTAFITI huu toa hoja zenye mantiki.
SOMETHING YOU MAY NOT KNOW ABOUT TANZANIA UNTIL NOW
RESEARCH
Tanzania is a richer country than all countries in the African continent. The main reasons are as follows
1. Tanzania has been able to pay fees for Tanzanian children from kindergarten to form six level(high school). This matter is very important for a developed nation because a developed nation must have enough educated people.
Also, the GDP of the nation has been largely including GDP per capita.
There is also a possibility that even European countries may not have or very few countries were able to pay the fees for their citizens until higher education.
Tanzania may be one of the richest countries in the world.
If you disagree with this RESEARCH, give logical arguments.
Maoni
Chapisha Maoni