Nchi za Africa ni mikoa tu Bado hawajaweza
Nchi za Africa ni kama mikoa tu ila bado hazijaungana ipasavyo
Ili Africa ikue kiuchumi ni lazima Africa yote iungane alafu kuwe na raisi wa Africa Mfalme au malkia asiye na mamlaka, Mfalme huyu achaguliwe kwa kura kutoka Baraza la wawakilishi wa mikoa ya africa ambazo sasa waafrika wanazitambua kama nchi.
Mfalme wa Africa atatakiwa kuishi kwenye nchi kikaragosi, nchi ambayo itakuwa katikati mwa africa, Kuna nchi inaitwa Jamhuri ya africa ya kati,Lakini sio lazima hiyo nchi kikaragosi iwe Jamhuri ya africa ya kati, kuna nchi nyingi tu zipo katikati mwa africa. katika nchi ambayo itakuwa ikulu ya Mfalme wa Africa, Mfalme wa Africa hatakuwa na mamlaka juu ya uendeshaji wa nchi hiyo, ila Mfalme atakuwa ni kiungo kati ya mataifa yote ya Africa, sipendekezi sana kuundwa sarafu ya Africa Ila napendekeza Kila mkoa wa Africa uwe na sarafu yake.
Raisi wa Africa alipwe pesa sawa na iliyofanyiwa hesabu kumwezesha kugharamia mahitaji yake yote ya msingi na posho.
Kama Africa wataweza hili suala basi, itakuwa muujiza kwa nchi za Ulaya kwani watashangaa Africa imewezaje kuwa na utajiri usioelezeka, sayansi na teknolojia,nguvu za kijeshi.na nchi yenye neema zote.africa itaheshimishwa sana.
African countries are like regions but they are not yet properly united
In order for Africa to grow economically, all of Africa nations must unite and then there should be a president of Africa, a king or a queen who does not have authority, this king should be elected by a vote from the Council of representatives of African regions that Africans now recognize as countries.
The king of Africa will have to live in a puppet country, a country that will be in the middle of Africa, there is a country called the Central African Republic, but that puppet country does not have to be the Central African Republic, there are many countries in Africa which located at the middlest in africa, proposal must select the middlest one,in a country that will be the palace of the King of Africa, the King of Africa will not have authority over the operation of that country, but the King will be a link between all African nations, I do not recommend the creation of an African currency, but I recommend that every region of Africa have own currency.
The President of Africa should be paid the same amount salary as calculated to enable him to cover all his basic needs and allowances.
If Africa can manage this issue and unite then, it will be a miracle for European countries because they will be surprised how Africa has been able to have indescribable wealth, science and technology, military power. and a country with all the graces. Africa will be very honored.
Maoni
Chapisha Maoni