FUVU LA MANGI MELI LILIYEYUKA Soma zaidi.......
Fuvu la mangi Meli,liliyeyuka. Kuna watu hawajui kuwa tunaishi na watu pia wengine sio watu.Unaweza kuishi na mtu ambaye kwa muonekano ni mtu lakini akifa kisha siku kadhaa zikipita hugeuka mbuzi au hata chawa au funza au mnyama yeyote yule wa porini au wa kufugwa.Sasa kama atageuka funza hata ukifukua huwezi kukuta kitu. Kwa sababu funza hana mfupa.
Sasa huenda mangi Meli aligeuka funza. hivyo ndio maana inakuwa ngumu kumpata.
Mimi sikushauri ufukue maiti ila kama ukifukua basi tambua kuwa watu halisi Duniani ni wachache sana.
Kama wewe ni kiongozi, uatakiwa ujue kuwa wewe ni nani, unawaongoza watu wa namna gani, chanzo cha mamlaka yako au cheo chako ni nani ili usife.
Ukijua mambo haya unaweza kufanya chochote.
Mangi Meli kiongozi wa Wendawazimu (wachaga)
Maoni
Chapisha Maoni