HISTORIA YA MLIMA KILIMANJARO Soma zaidi......
ASILI YA NENO KILIMANJARO
Kilimanjaro ni neno kutoka lugha ya Kiseri lenye maana ya kilima cha mizimu.
silabi "nja" kwa kiswahili ni "cha"
Neno Ro/Ruo ni neno la Kiseri lenye maana ya Mizimu katika lugha ya kiswahili.
JINA SAHIHI LA MLIMA NI "Kilimanjaruo" lakini ikitamkwa inasikika Kilimanjaro.
Hiyo silabi "Ro" Kwenye neno Kilimanjaro ni Ruo lenye maana ya "Mizimu".
Ukitamka neno Kilimanjaruo, neno la mwisho "ruo" linasikika kama "ro"
Waandishi waliuita mlima huu Kilimanjaro katika maandishi yao kutokana na matamshi na kutafuta namna bora ya kuandika bila kupotosha maana kutoka kwa mzungumzaji.
Mlima Kilimanjaro ulitoa volcano yake mfululizo miaka mingi iliyopita ila kwa sasa baadhi ya safu za za mlima kilimanjaro ni volcano hai yenye milipuko midogomidogo ambayo huweza kutokea mara chache kwa mwaka.
Waseri wanapatikana maeneo yote ndani ya mkoa wa Kilimanjaro ila kwa wingi wapo ndani ya wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro.
"Makala hii inahitaji kupanuliwa zaidi kutokana na watu wengi kuhitaji kufahamu zaidi".
ORIGIN OF THE WORD KILIMANJARO
Kilimanjaro is a word from the Seri language that means hill of ghosts.
The syllable "nja" in Swahili is "cha"
THE CORRECT NAME OF THE MOUNTAIN IS Kilimanjaruo
That syllable "Ro" in the word Kilimanjaro is Ruo meaning "Ghosts".
If you pronounce the word Kilimanjaruo, the last word ruo sounds like "ro"
Writers called this mountain Kilimanjaro in their writings due to pronunciation and finding the best way to write without distorting the meaning from the speaker.
Seri people are found in all places in the Kilimanjaro region, but they are mostly in the Rombo district in the Kilimanjaro region.
This article needs to be expanded further due to the fact that many people need to know more.
Toa maoni yako.
Maoni
Chapisha Maoni