KANISA NI KABURI Soma zaidi.........
KANISA NI KABURI
Alama ya msalaba imekuwa ikitumika mara nyingi kwenye makanisa na kwenye makaburi
Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kanisa na kaburi kwani hata katika makanisa ya kikristo askofu huzikwa Ndani ya kanisa. Hivyo huu ni uthibitisho kamili kuwa kanisa ni kaburi.
Waumini waliopo kanisani ni maiti kamili. yani tayari umesheka kufa hivyo upo ndani ya kaburi.
Msalaba kwa wakristo ni ishara ya kifo au kaburi ndio maana makaburi ya wakristo huwekwa msalaba.
Kuna Ibada za kanisa katoliki zinaitwa ibada za njia ya kifo maarufu kama ibada za njia ya msalaba, pia katoliki kuna ishara ya kifo.
Maana ya neno msalaba ni kifo.
Unaweza ukaona kuwa ni kawaida sana kuitwa maiti ukiwa upo hai. lakini unatakiwa kujua kwamba muumini ni maiti Ndani ya kaburi.
Hata waislamu pia huwekewa alama ya mwezi nusu na nyota katika makaburi yao ambayo pia alama hiyo huwekwa misikitini hivyo hata msikiti pia ni kaburi na waumini ni maiti.
Kwa upande wa waislamu alama ya mwezi nusu na nyota inawakilisha kaburi au kifo ndio maana huwekwa kaburini.
Hivyo tunaweza kusema Msikiti ni kaburi na waumini ni maiti.
Kufufuka ni kutoka kwenye dini hizo na kurudi kwenye tamaduni, hiyo ndio maana ya kufufuka,toka kaburini.
THE CHURCH IS A GRAVE
The sign of the cross has often been used in churches and cemeteries
There is a direct relationship between the church and the cemetery because even in Christian churches the bishop is buried inside the church. So this is full proof that the church is a grave.
The believers in the church are complete corpses. that is, you are already ready to die, so you are in the grave.
For Christians, the cross is a symbol of death or the grave, which is why the graves of Christians are marked with a cross.
There are services of the Catholic church called services of the way of death, famous as services of the way of the cross, also in Catholicism there is a symbol of death.
The meaning of the word cross is death.
You can see that it is very common to be called dead when you are alive. but you should know that a believer is a dead body in the grave.
Even Muslims are also marked with a half moon and a star in their graves, which is also marked in mosques, so even the mosque is also a grave and the believers are corpses.
In the case of Muslims, the symbol of the half moon and the star represents the grave or death, which is why it is placed in the grave.
So we can say the Mosque is a grave and believers are corpses.
Resurrection is coming from those religions and returning to culture, that is the meaning of resurrection, from the grave.
Maoni
Chapisha Maoni