USERI Soma zaidi
USERI
Useri inaanzia Kirongo, Tarakea, Rongai Mpaka Holili.
Useri ni maeneo ya Kirongo, Tarakea Mpaka Holili, Useri kirongo juu,Useri, kirongo, Kirongo chini,Ubetu,Ubetu Kahe, Kahe useri, Useri Kingachi, Kingachi,Leto,ubetu Kilawohi,Mashima chini, Mashima juu,Tarakea Urauri,Reha,Naiyeme, Tarakea chini,Tarakea Motamburu, Tarakea juu na Holili.
Watu wa maeneo hayo wanaitwa waseri, waseri wanazungumza lugha yenye lafudhi moja.
Lugha hiyo inaitwa kiseri.
Waseri sio watu wa dini, Waseri ni watu wa Matambiko ya mizimu tangu zamani hadi sasa.
Waseri ndio wenyeji asilia wa kilimanjaro. Jina Kilimanjaro limetokana na Lugha ya kiseri Kilimanjaro lenye maana ya mlima wa mizimu.
WASERI
Waseri ni watu wa Kaskazini ya Kilimanjaro. Kuanzia Kirongo kuelekea Kaskazini zaidi mpaka Rongai pia Holili.
Kuna lugha inayozungumzwa na watu wa maeneo ya Useri kirongo juu,Useri, kirongo, Kirongo chini,Ubetu,Ubetu Kahe, Kahe useri, Useri Kingachi, Kingachi,Leto,ubetu Kilawohi,Mashima chini, Mashima juu,Tarakea Urauri,Reha,Naiyeme, Tarakea chini,Tarakea Motamburu, Tarakea juu, Rongai na Holili. Lugha ya watu hawa ndio Kiseri chenyewe na watu wanaozungumza lugha hiyo ndio tunawaita Waseri.
Waseri sio waumini wa dini, Waseri ni watu wa Matambiko wa mizimu tangu zamani.
Waseri hawawezi kuwa Wakristo,waislamu au dini nyingine yoyote ile. Waseri ni watu wa Matambiko ya mizimu pekee.
KISERI
Kiseri ni lugha inayozungumzwa na wenyeji asilia wa kilimanjaro.
Kuna lugha inayozungumzwa na watu wa maeneo ya Useri kirongo juu,Useri, kirongo, Kirongo chini,Ubetu,Ubetu Kahe, Kahe useri, Useri Kingachi, Kingachi,Leto,ubetu Kilawohi,Mashima chini, Mashima juu,Tarakea Urauri,Reha,Naiyeme, Tarakea chini,Tarakea Motamburu, Tarakea juu na Holili.
KISERI KIMEANZA KUHARIBIWA KUSINI MWA KILIMANJARO
Kiseri kimeanza kuharibiwa kuanzia Olele,Mashati,Mengwe,Mamsera,Mkuu,Moshi vijijini,Vunjo Mpaka Hai Kilimanjaro, kule kibosho ndio hatari kabisa.
Neno Kibosho Kwa Kiseri ni Kidonda kilicho toneshwa.
Wakati mzungu anatengeneza Kamusi ya kichaga ili kuwafundisha wamisionari ambao ndio wageni au wavamizi wa leo ndipo alipoanza kuharibu Kiseri.
Mzungu alikopi Maneno machache ya Kiseri akashindwa kuunda sentensi hivyo akaharibu lugha ya Kilimanjaro katika baadhi ya maeneo.
Wageni (wamisionari) walifundishwa kichagga kupitia kitabu cha sala za pamoja vya madhehebu ya Katoliki na K.K.K.T na Vitabu hivyo vipo hadi leo.
Mzungu alikopi Maneno machache ya Lugha ya kilimanjaro(Kiseri) kwaajili ya kuwafundisha wamisionari ambao leo wanaitwa wachaga. Alishindwa katika kuunda sentensi.
Muhimu kujua hutaweza kuzungumza Kiseri ikiwa wewe sio mzawa asilia wa kilimanjaro utang'atang'ata tu. Na kuonekana huwezi kuzungumza.
Maoni
Chapisha Maoni