KIBOSHO
Kibosho ni kata inayopatikana Wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro.
Kwa lugha ya Kiseri Kibosho Ina maana ambayo sio nzuri sana. Kibosho Kwa lugha ya Kiseri ni kidonda kinachotoa harufu baada ya kutoneshwa.
Waseri wao Kibosho ni kidonda kinachotoa harufu.
Waseri wanapatikana Rombo Mkoani Kilimanjaro.
Maoni
Chapisha Maoni