Maana ya neno wapagani ambayo Tanzania hutafsiriwa tofauti Soma zaidi
Pagani ni mji wa mkoa wa Campania, Italia Kusini wenye wakazi 34,671 (sensa ya mwaka 2011).
Kama ilivyo mji wa Roma Ndani ya Italia hata Pagani pia ni mji Ndani ya nchi ya Italia.
Watu wanaoishi katika mji wa Pagani Italia huitwa Wapagani.
Watanzania hutafsiri neno wapagani na tafsiri ambayo sio sahihi, kwamba wapagani ni watu wasio na dini,tafsiri hii sio sahihi kabisa kuhusu neno wapagani.
Tafsiri sahihi ya neno wapagani ni watu wanaoishi katika mji unaoitwa Pagani ambao mji huo hupatikana katika nchi ya Italia.
Pagani is a city in the region of Campania , Southern Italy with 34,671 inhabitants ( 2011 census ).
As is the city of Rome in Italy, Pagani is also a city in Italy.
The people living in Pagani Italy are called Pagani.
Maoni
Chapisha Maoni