Makabila ya Mkoa wa Kilimanjaro
MKOA WA KILIMANJARO UNA MAKABILA MATATU ASILIA PEKEE KAMA IFUATAVYO
1.Wachagga, ambao inasemekana huzungumza Lugha iitwayo kichagga.
Wachaga wanapatikana kwa wingi katika wilaya za Moshi vijijini, wilaya ya Hai, wilaya ya Siha. Pia Wachaga wachache hupatikana pia katika wilaya ya Rombo.
2. Warombo/Waseri, ambao inasemekana huzungumza lugha iitwayo Kiseri/Kirombo.
Warombo hupatikana kwa wingi katika wilaya ya Rombo. warombo wengine hupatikana katika wilaya za Moshi, Siha,Hai,Same na Mwanga.
3.Wapare, ambao inasemekana huzungumza kichagga.
Wapare wanapatikana kwa wingi katika wilaya za Same na Mwanga. Huzungumza kichagga(kiseri)
4. Wagweno, ambao inasemekana huzungumza lugha mchanganyiko kati ya Kichagga na Kirombo. Lugha ya kigweno iliibuka kutokana na mwingiliano wa Wachaga na Warombo.
Wagweno wanapatikana kwa wingi katika wilaya za Same na Mwanga.
Lugha ya kichagga inaeleweka miongoni mwa Wachagga wote ndani ya Kilimanjaro isipokuwa kwa wageni.
Kuna baadhi ya makabila ya Tanzania yalihamia Kilimanjaro ambayo ni kama vile Wamasai, Wasambaa na Waarusha, watu hawa hawaeleweki miongoni mwa Wachagga, hivyo kupelekea baadhi ya maeneo kuzungumza lugha tofauti isiyoeleweka miongoni mwa Wachagga, wageni hawa wanaishi katika wilaya za Hai, Siha,Same na Moshi vijijini. siku hizi wengine hujiita Wachaga.
Maoni
Chapisha Maoni