UJASUSI WA KIDINI

UJASUSI WA KIDINI
Mwaka 1917 Kanisa katoliki lilileta Takribani Mitume( watu )700.

 Pia Mwaka 1918 Kanisa lilileta Mitume 700 waiwemo wazungu na watu weusi kutoka kusiko julikana na kuwasambaza Moshi Vijijini na maeneo mengine mkoani Kilimanjaro kuja kufanya Utume.

Baadhi ya Mitume kutoka kanisa katoliki walijiunga na kanisa la kilutheri (K.k.k.T) Kisha baadae Uislamu.

Mpaka Sasa watu hawa wapo , Kwa wingi wapo maeneo ya Kibosho na Machame.

Mpaka Sasa watu hawa hawawezi kuongea Lugha ya Kilimanjaro yenye ulinganifu na wazawa asilia.




Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Waislamu hupiga kelele msikitini kila baada ya saa kadhaa

HISTORIA YA TANZANIA

TANGANYIKA IKO KWENYE VITA DHIDI YA NCHI TATU(ZANZIBAR, ZAMBIA NA MALAWI)