WAZUNGU WANASAIDIWA NA NANI? Soma zaidi......
UJASUSI WA KIDINI
Mzungu sio mjinga kiasi hicho mpaka awekeze mabilioni ya Dola za kimarekani kujenga Makanisa na Misikiti bila kupata faida yoyote.
Tazama misikiti na makanisa yanayojengwa Nchini Tanzania ni majengo ya mabilioni ya Dola.
Pia kumbuka hata ukoloni wa mwanzo ulitanguliza dini.
Swali nani anayewauzia viwanja????
Tangu tupate uhuru,Tanzania haijawahi kuwa na Rais hadi Sasa.
Inaweza kuwa Ngumu kunielewa!!!!!!!!
Maoni
Chapisha Maoni