USIJENGEE MAKABURI Soma zaidi........

 MSIJENGEE MAKABURI YAACHENI YASINYAE MAISHA YAENDELEE


NAWAKUMBUSHA TU


Enzi ya zamani hapa Useri hatukuwa tunajengea makaburi ila Ilikuwa mtu akifa anazikwa alafu Lile kaburi lake likisinyaa tu, eneo Hilo tunaweza kulifanyia matumizi mengine kama kulima migomba mahindi na mihogo, sisi Waseri halisi tunakula mihogo.


Wachaga walivyokuja Useri wakitokea huko Moshi na maeneo mengine walikuja na Desturi zao za kishamba za kujengea makaburi. makaburi ya wachaga siku zote huwa yanatisha sana hivyo hawawezi kujenga au kuendeleza eneo alilozikwa mtu labda wamfukue.


Sasa endelea kujengea makaburi alafu uone jinsi hapo kwenu kutakavyo pendeza.


Nikiwaambia Kuna tofauti ya waseri na wachaga muwe munaelewa.


Mangi Salakana alikuwa mchaga asili yake ni Marangu.Muhimu zaidi nitakuja kuwaeleza kuwa Mangi Salakana Useri alifata nini na aliletwa na nani.


LEO NAONA NITOBOE SIRI AMBAYO IMEFICHIKA KWA MUDA MREFU

Kiufupi ni kwamba Waseri hawakuwa na Mangi wala Uongozi wowote. Bali Koo mbalimbali ziliunda shirikisho la wazee. Mashirikisho ya wazee yapo mpaka sasa  na yanafanya kazi. Hawa wazee sio mamangi, wala sio viongozi yani hawamuongozi mtu yeyote bali  ni mababu wa ukoo. Mababu wa ukoo kazi yao ni kushirikiana na vijana wakati wa Matambiko ya mizimu.


Yani hakuna matukio matamu na yenye kufurahisha kama matukio ya siku ya Tambiko.


Mkoloni Mjerumani ndiye aliyeleta umangi kule Moshi, kwaajili ya Maslahi yake na Mangi Mkuu ndiye mkoloni mwenyewe.











Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Waislamu hupiga kelele msikitini kila baada ya saa kadhaa

HISTORIA YA TANZANIA

TANGANYIKA IKO KWENYE VITA DHIDI YA NCHI TATU(ZANZIBAR, ZAMBIA NA MALAWI)