Dawa ya kutibu kifo
DAWA YA KUTIBU KIFO
Kuna waganga wa Jadi wa Kirombo waliokuwa wanaweza kutengeneza dawa ya kifo.
Hata sasa waganga hawa wapo.
Dawa hii ya kienyeji ya kutibu kifo inaitwa MBIKUU.
Pia UKIMEZA MBIKUU Hauzeeki kabisa.
Mbikuu inazuia kuzeeka na kufa.
Yani hawa waganga ni nomaa yani ukimeza hii dawa utafurahia maisha yako.
Zamani Kulikuwa na waganga wa Jadi wa Kirombo waliokuwa wanaweza kutengeneza dawa ya kifo hata sasa bado wapo.
Yani hawa waganga ni nomaa yani UKIMEZA MBIKUU unakuwa na uwezo wa kuishi miaka zaidi ya mia tatu, lakini inamasharti makali sana ukivunja masharti hayo unaoza ukiwa hai.
Pia kingine ukitamani kufa, kuna dawa nyingine utameza alafu utatapika MBIKUU alafu ndipo utazeeka na kufa.
Pia mbikuu huzuia mtu kukuua kwani akijaribu kukuua Jambo hilo humgeukia yeye mwenyewe.
Watu wa sikuizi hawataki kumeza mbikuu, labda ni kwasababu ya masharti yake kwasababu ni dawa ya kiasili.
Mbikuu Ina masharti yasiyo magumu lakini yenye vipengele.
Maoni
Chapisha Maoni