Waseri

  WATU WA KILIMANJARO




WASERI 


MAKALA


Waseri au Warombo ni kabila linalopatikana kaskazini mwa mkoa wa Kilimanjaro,lugha yao rasmi ni kiseri. Waseri wanajishugulisha na kilimo, ufugaji,biashara na kazi za ofisini. Pia wanaweza kufanya kazi zingine kama ufundi n.k


Waseri wanapatikana kwa wingi kaskazini zaidi mwa mkoa wa Kilimanjaro hususani maeneo ya Kirongo, Tarakea,Rongai na Holili.


Kiseri ni miongoni mwa makundi ya lugha za kibantu yaliyoainishwa na Malcolm Guthrie.



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Waislamu hupiga kelele msikitini kila baada ya saa kadhaa

HISTORIA YA TANZANIA

TANGANYIKA IKO KWENYE VITA DHIDI YA NCHI TATU(ZANZIBAR, ZAMBIA NA MALAWI)