WAZUNGU WANALETA WENYEWE Soma zaidi......

WAZUNGU NI WAJINGA,WANALETA WENYEWE.


Fedha zinazotolewa na Marekani au nchi za ulaya kuja Tanganyika sio misaada, Bali Fedha hizo ni haki yetu sisi watanzania, pia Fedha hizo ni zetu.


Maisha yao sisi ndio tumeyashikilia, na siku wakiacha kuleta hizo Fedha kuna jambo baya huweza kuwatokea. Usiulize kwanini.


Hakuna mtu anaweza kumpa mtu Fedha bure hata wewe huwezi kutoa fedha yako bure.


Imetolewa na Umoja wa viongozi wakuu wa Tanganyika kabla na baada ya uhuru.


Majengo Moshi Tanzania

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Waislamu hupiga kelele msikitini kila baada ya saa kadhaa

HISTORIA YA TANZANIA

TANGANYIKA IKO KWENYE VITA DHIDI YA NCHI TATU(ZANZIBAR, ZAMBIA NA MALAWI)