PWANI YAWA NGOME YA MWARABU

 MKOA WA PWANI TANZANIA


Wakazi wa MKOA WA Pwani ni Waarabu.


PWANI ni Ngome ya Mwarabu kwa miaka Mingi.


Ukizungumzia Mkoa wa Pwani unataja wilaya za Kibiti,Mkuranga,Rufiji,Bagamoyo,KisaraweChalinze, Kibaha na Mafia


PWANI ni moja ya mikoa ya tanzania yenye utawala wa waarabu(waislamu wengi), kwa kifupi unaweza kusema wandengereko, Wazaramo, na wamatumbi  ni waarabu kabisa kwani  asilimia 98% ni Waislamu Asilimia 2% hawana dini yoyote.


Uislamu ni Uarabu hivyo kama wewe ni mwislamu uliye shika dini hiyo, wewe pia ni mwarabu, hata kama rangi na nywele zako hazifanani nao.


Nasema ni waarabu kwa sababu asilimia 98% ya wakazi wa Pwani ni waislamu.


Chakushangaza licha ya kwamba wakazi wa Pwani waliowengi ni waislamu lakini hakuna waarabu.


Achana na dini ili Tanzania iwe huru dhidi ya ukoloni wa Kisasa kupitia dini. Ikumbukukwe kuwa hata ule ukoloni wa zamani ulitanguliza dini na baadae wakaja kutawala rasmi.


Kama wakazi hawa wa Pwani wasipoacha dini hizi za wazungu na waarabu wanatakiwa warudi  Uarabuni wote kwasabu haiwezekani wakazi wa Pwani washike dini na   za kiarabu ili hali wao wapo Tanzania ili kuzuia ukoloni usienee.


Ukienda nchi za kiarabu unalazimika kusilimu ili uishi huko. wao wakija kwetu wanaeneza dini zao na sisi watanzania Kwa ujinga wetu tunasujudia uislamu, haikubaliki.


Watanzania tunatakiwa kupambana na huu ukoloni unaoanza kushamiri Kwa kutanguliza dini Kwa kuacha dini, inatakiwa tuache kwenda misikitini na makanisani.


Hata kuvaa kofia za kiislamu na kanzu ni kuhubiri uarabu. umakini unahitajika katika mapambano haya.


Endelea kufuatilia Blog hii kujua zaidi kuhusu ngome za mataifa mbalimbali Tanzania kupitia dini za Uislamu na Ukristo.






Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Waislamu hupiga kelele msikitini kila baada ya saa kadhaa

HISTORIA YA TANZANIA

TANGANYIKA IKO KWENYE VITA DHIDI YA NCHI TATU(ZANZIBAR, ZAMBIA NA MALAWI)