SINGIDA NI NGOME YA MWARABU
SINGIDA
Wakazi wa Singida ni Waarabu.
Singida ni Ngome ya Mwarabu kwa miaka Mingi.
Singida ni moja ya mikoa ya tanzania yenye utawala wa waarabu(waislamu wengi), kwa kifupi unaweza kusema wanyaturu na wanyiramba ni waarabu kabisa kwani asilimia 90% ni Waislamu Asilimia 10 ni Wazungu(wakristo).
Uislamu ni Uarabu hivyo kama wewe ni mwislamu uliye shika dini hiyo, wewe pia ni mwarabu, hata kama rangi na nywele zako hazifanani nao.
Nasema ni waarabu kwa sababu asilimia 90% ya wakazi wa Singida ni waislamu.
Pia Singida ni miongoni mwa mikoa ambayo Wanawake hutumwa na wame zao kwenda kufanya kazi za ndani Uarabuni. Sasa wanaporudi Tanzania wengi huja na mimba za waarabu, watoto wanaozaliwa huwa na asili ya uarabuni ndio maana mkoa huu umekuwa ngome ya mwarabu kwa miaka mingi.
Wengine ni shauku yakufanana na waarabu hivyo kuamua kuingia kwenye dini za kiislamu za waarabu, wengine husilimu ili kupata kibali cha kwenda uarabuni kufanya kazi za ndani ambazo husemekana zina mshahara mkubwa, kwani Kigezo cha kupata kazi Uarabuni ni lazima uwe mwislamu.
Ukizunguka singida vizuri waarabu wamejaa mpaka vijijini ndanindani.
Achana na dini ili Tanzania iwe huru dhidi ya ukoloni wa Kisasa kupitia dini. Ikumbukukwe kuwa hata ule ukoloni wa zamani ulitanguliza dini na baadae wakaja kutawala rasmi.
Kama wakazi hawa wa Singida wasipoacha dini hizi za wazungu na waarabu wanatakiwa warudi Uarabuni wote kwasabu haiwezekani waarabu wakaishi kwenye nchi hii na kueneza dini zao ili hali sisi tukiwa kwenye nchi zao tunalazimika kuwa waislamu ili kuishi huko kwenye nchi za kiarabu.
Ukienda nchi za kiarabu unalazimika kusilimu ili uishi huko. wao wakija kwetu wanaeneza dini zao, haikubaliki.
Endelea kufuatilia Blog hii kujua zaidi kuhusu ngome za mataifa mbalimbali Tanzania kupitia dini za Uislamu na Ukristo.
Maoni
Chapisha Maoni