MJI WA MOSHI
MOSHI(MUSHI), MJI WA KALE AMBAO HAUNA FAIDA KWA WENYEJI NA WAZAWA.
Inasemekana Mji wa Mushi(Moshi) Ndio Mji mkongwe zaidi kuliko miji yote Tanzania. Ulianzishwa mwanzoni mwa ukoloni Tanzania. German East Africa.
Ikulu ya kwanza Tanzania ilijegwa na Mjerumani hapa Moshi.
Serikali ya Kijerumani kwa kushirikiana na Dola la Rumi(Roman Empire),Waliweza kutawala.
Ujerumani ilikuwa chini ya Dola la Rumi, Kwahiyo wajerumani walitawala Tanzania kwa mwamvuli wa Dola la Warumi, ambalo lilikuja Kuanguka miaka michache Baadae.
Lakini Baada ya Dola la Rumi Kuanguka,Ndipo Tanzania ilipotwaliwa na Uingereza, ambao waingereza walijenga Zaidi Dar es salaam.
Sababu za Waingereza Kujenga Ikulu ya Dar es salaam ni kwamba, Walihofia kuwa Dola la Warumi lingeweza kuinuka tena na kurudi Mushi, Sasa sababu ya Waingereza Kujenga Ikulu ya Dar es salaam, ilikuwa ni Mipango yao kwamba kama Warumi watarudi Mushi(Moshi) basi wangegawana kwamba Uingereza wabaki Pwani alafu Warumi Wabaki Mushi.
Kumbuka kwamba Vita ya kwanza ya Dunia(1914-1918),ndiyo iliyopelekea Dola la Rumi Kuanguka, baada ya Dola la Rumi Kuanguka, Ujerumani ilikuwa haina nguvu ya Kuendelea kutawala Tanzania Kwasabu Warumi ndio walikuwa wanawapa nguvu ya Kutawala East Africa.
Kumbuka kwamba Uingereza Ndio ilipambana sana Kwenye vita ya kwanza ya Dunia, Kwa kushirikiana na Ureno.Hata Kule Afrika ya kusini Waligawana kwamba Ureno ibaki msumbiji na Uingereza ibaki nchini Afrika kusini.
Sasa unajua ni kwanini Ikulu ya Uingereza Tanzania iliitwa Dar es salaam?
Neno Dar es salaam, ni muunganiko wa Maneno mawili ya Kingereza na Kireno yenye Maana ya Kuthubutu. na sio Kuthubutu pekee ni Kuthubutu kupambana vita.
Sababu ya kuunganisha Maneno ni kuweka kumbukumbu kwamba, wameweza kutawala East Africa baada ya Kuthubutu kupambana Kwenye vita ya kwanza ya Dunia iliyoangusha Dola Lililokuwa na nguvu(Dola la Rumi).
Maneno yaliyounganishwa na kupata Jina Dar es salaam ni Maneno "DARE" NA "OUSARAM" ni Maneno kutoka lugha ya Kingereza na Kireno.Walivyo unganisha wakapata neno DAREOUSARAM, Jina Likabadilika kuwa DARESARAM Kisha DAR ES SALAAM.
Dar es salaam ni Maneno mawili ya Kingereza na Kireno yenye Maana ya Kuthubutu kupambana Kwenye vita.
WACHAGA NJOONI MAJENGO MOSHI,MJI NI MTUPU UNAWAHITAJI NYINYI KWA BIASHARA NA KUJENGA MJI. MJI WA MUSHI ENEO LAKE NI KUBWA TOFAUTI NA INAVYOJULIKANA.
Maoni
Chapisha Maoni