Tanzania ni Unguja na Pemba
TOFAUTI YA TANGANYIKA NA TANZANIA
Kuna tofauti kubwa kati ya Tanganyika na Tanzania.
Tofauti ni kwamba Tanganyika ni nchi huru, Tanganyika ilipata uhuru mwaka 1961. na kutangazwa kuwa Jamhuri ya Tanganyika mwaka 1962. Tangu mwaka 1962 Mpaka leo nchi ya Tanganyika haijawahi kutawaliwa. Pia historia inasema kila wakijaribu kuitawala huwa wanashindwa. Na pia unaweza kusema Kuwa ilikuwa huru hata kabla ya 1961.
Lakini Tanzania Bado haijapata uhuru.
Inaweza kukushangaza kusikia kuwa Tanzania bado haijapata uhuru,Lakini ndio ukweli wenyewe kwamba hakuna nchi inayoitwa Tanzania ambayo imewahi kupata uhuru.
Nchi ya Tanzania ni Visiwa vidogo vya Unguja na Pemba ambavyo Mpaka leo Vinatawaliwa na wakoloni kutoka nje.
Na hata wakazi wake ukiwaeleza kuhusu kupigania uhuru wa nchi yao hawawezi kukuelewa, na hakuna wanacho kijua na pia hawataweza kujua, akili zao zimefungwa.
Visiwa vya Unguja na Pemba Viliungana na Kupatikana nchi ya Tanzania. Udongo wa Unguja na Pemba Ulichanganywa ikapatikana nchi ya Tanzania. ambayo mara nyingi hujulikana kama Zanzibar Tanzania.
Hakuna sababu maalamu inayofanya Visiwa hivyo kuendelea kutawaliwa na pia Kupitia Visiwa hivyo wakoloni huwa wanapata faida fulani, Ikiwemo uwezo wa kufikiri,Ugunduzi na Uvumbuzi, akili,inaweza ikakushangaza lakini Kwenye maswala ya Imani wenzio huwa yanatokea, Sasa kama ulikuwa hujawahi kukutana na hii, Sasa nakwambia Leo, hata Sayansi na Teknolojia chanzo chake ni Visiwa hivyo, Ugunduzi wa Ndege,Mavazi,Viwanda,Mitindo ya nguo,Sanaa Magari,Meli,Silaha kama mabomu ya Nyuklia,Risasi,Mapanga,Visu, mabomu ya kawaida,vifaru,Bunduki,Ubunifu wa ujenzi wa magorofa,Madaraja, na Kila Kitu kinachohusu Teknolojia chanzo chake ni Visiwa hivyo vya Unguja na Pemba. Kama uliwahi kusikia mtu anakwambia anaenda mtoni kuoga ili Kuondoa mikosi ni mambo kama hayo.
Na Kitu Kingine usicho kujua ni kwamba hata wewe mwafrika ukithubutu kukalia visiwa vya unguja na Pemba Unakuwa na akili kubwa, utavumbua na kugundua mambo mbalimbali, Kingine usicho kijua ni kwamba wakazi wake wote ni Waislamu waarabu hakuna wanachokijua na hawataweza kujua lolote Milele.
Sasa Kwa taarifa yako Wazungu,Wachina,Wajapani nk,walipotua Kwenye visiwa hivyo waligundua na Kuvumbua mambo mengi hasa Kwenye sayansi na teknolojia. Kama uliwahi kusikia neno "Kua uone" Kama hujawahi kukutana na hili na ukashangazwa wewe Bado hujakua.
Unaweza ukashangazwa sana na andiko hili, kama hujawahi kukutana na vitu vya kukushangaza bado hujakua, hivyo basi Leo nimekupa hili likushangaze na upate uzoefu, siku ukikutana na Lingine la kukushangaza usipate mshtuko wa Moyo.
Mengine yote unaweza kusahau ila unachotakiwa kukumbuka ni kwamba nchi ya Tanzania ni Visiwa vya Unguja na Pemba. Visiwa hivi viliungana na kuwa nchi Moja ya Tanzania, Kwa kuchanganya udongo wa Pemba na Unguja na watu walioshiriki kuchanganya udongo ni Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume.
Maoni
Chapisha Maoni