RAIS NI NANI
RAIS NI NANI
Watu wengi, wamekuwa wakiwaza kuwa wasome Kwa bidii ili waje kuwa RAIS WA TANZANIA.
Kwanza Sahau Kabisa kuwa utaweza kuja kuwa RAIS. Wewe soma Kuondoa ujinga, na sio kuwa RAIS WA TANZANIA.
Kwanza kumbuka kuwa Zamani hakukua na elimu Rasmi, lakini watu walikuwa wanasoma huko Manyumbani kwao. Na walimu walikuwa Wazazi,Wazee nk.
Sasa inatakiwa uelewe kuwa elimu ilikuwepo Tangu mwanzo wa Dunia.Kama nilivyoeleza hapo. watu wanasoma Kuondoa ujinga pekee.
RAIS NI NANI?
Rais ni muwakilishi wa nchi fulani huko nje, ni kama Balozi kimataifa. na yeye pia ana Bosi wake, Mfano SAMIA ni RAIS WA TANZANIA lakini ana Bosi wake anayemwelekeza chakufanya, hivyo tunaweza kusema ni Kibaraka wa huyo anayemwelekeza. Huyo anayemwelekeza cha Kufanya ndiye aliyemwandaa kuwa RAIS Kwa manufaa yake.
KWANINI NYERERE ALIWABAGUA WACHAGA?
Rais wa nchi ni mtu hatari sana kwa Raia wa Kawaida wa nchi husika. Tuungane kwa pamoja dhidi yake. Mfano Julius Kambarage Nyerere, aliwabagua Wachaga ambao kwa kipindi hicho ndio walikuwa wengi nchini. maelekezo yalikuwa yanatoka Uingereza.
Zamani Wachaga lilikuwa kabila la kwanza Kwa ukubwa nchini. Lakini Baadae walikuja Wanyamwezi na wasukuma wakawa wengi na kuwazidi Hata hivyo Wachaga ni kabila la tatu Kwa ukubwa kwa Sasa, hii Historia sijaandika Mimi. Maana Kuna watu wanajifanya wanapinga Historia.
Sasa jiulize kama Wachaga ndio walikuwa wanaunda Taifa Kwa kipindi hicho Kwanini Rais Julius Kambarage Nyerere na Bosi wake Uingereza waliwabagua?
RAIS ANAPATIKANA VIPI SASA?
Rais anaandaliwa na mara nyingi wanasomeshwa nje ya nchi, ata kama kasoma Ndani lakini ujue kuwa ni pandikizi na sio lazima wawe Raia wa nchi husika,Mfano Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,Kiuhalisia Kabisa ni Mnigeria. Lakini Kwa Tanzania ni mtu wa Mkoa wa Mara Wilaya ya Butiama. kuhusu kuwa mtoto wa chifu isikuchanganye Wewe unachotakiwa kujua ni kwamba Julius Kambarage Nyerere anaasili ya Nigeria.
BOSI WA NYERERE ALIKUWA NANI?
Bosi wa Nyerere alikuwa Uingereza kupitia Malkia Elizabeth II, Mambo yote aliyokuwa anafanya maelekezo yalikuwa yanatoka Uingereza.
RAIS SAMIA SULUHU HASANI ANAASILI YA WAPI?
Samia ni chotara wa Kiarabu asili yake ni Omani, Lakini Kwa Tanzania ni mtu wa Makunduchi,Uguja Zanzibar. Vyeti vyake vyote vya Kitaaluma ni vyeti mbadala(Equivalent Certificates)
Nimesema ni chotara wa Kiarabu Kwasababu ni mwislamu na hata mavazi yake aina ya Hijabu yanathibitisha hili. yani vazi analovaa la Hijabu ni USHAHIDI KAMILI KUWA ANAASILI YA KIARABU.
Inasemekana RAIS SAMIA SULUHU HASANI Amekuwa RAIS WA TANZANIA ILI KULIPA DENI,NI DENI GANI MIMI SIJUI. Na sio Samia tu.
KWANINI NAMBA YA SIMU YA SAMIA SULUHU HASANI INA CODE ZA NJE YA NCHI.
Rejea maelezo hapo juu, Hata simu anayomiliki imeunganishwa na hawezi kufanya chochote kinyume na maelekezo ya Bosi wake. Ni mtumwa wa mtu au Taifa Fulani lenye Nguvu.
Je Watanzania tunaweza kuishi bila Rais?
Jibu ni ndio tunaweza kuishi bila Rais.
SISI RAIA WA KAWAIDA INATAKIWA TUUNGANE KWA PAMOJA KUPAMBANA NA RAIS, ILI TUISHI VIZURI, NI ADUI.
#VITA NI MAISHA
RUDI NYUMBANI KUMENOGA!!!!!!!!!!!!
Maoni
Chapisha Maoni