Muungano wa Pemba(Tanga) na Zanzibar ( Unguja)
MUUNGANO WA PEMBA AMBAYO ZAMANI ILIITWA TANGA NA UNGUJA AMBAYO ZAMANI ILIITWA ZANZIBAR, ULIO UNDA TANZANIA.
Zanzibar sio nchi Lakini ilivyoungana na Pemba ndio ikaundwa nchi ya Tanzania, ambayo mpaka Sasa bado haijapata uhuru.
Hussein Mwinyi si RAIS Bali ni Mkuu wa Mkoa wa Zanzibar.Maana kimataifa Zanzibar inajulikana kama Sehemu ya Tanzania, hata kwenye Passport na Visa za wazanzibar Kwenye kipengele cha Nationality wanajaza Tanzanian.
Tanzania ni wapi?
HEBU TURUDI NYUMA KIDOGO
Zamani kisiwa cha Pemba kilikua kinaitwa Tanga na Unguja ilikuwa inaitwa Zanzibar, Kisiwa cha Zanzibar ambacho kwa sasa wengi wana kijua kama kisiwa cha Unguja kilikua ni kisiwa chenye sokwe wakubwa.
Baadae kisiwa cha Tanga ambacho sasa kinaitwa Kisiwa cha Pemba waliungana na kisiwa cha Zanzibar ambacho sasa kinajulikana kama kisiwa cha Unguja,Ndipo likapatikana neno Tanzania Kwa kuunganisha Tanga+Zanzibar.
Sababu za Nyerere kuhusika katika kuchanganya udongo wa visiwa vya Tanga na Zanzibar ni kutokana na wapemba wengi kuhamia Pwani ya Tanganyika katika mkoa ambao sasa unaitwa Tanga ya bara.
Nyerere alihusika kuchanganya udongo huo kwa amri ya Malkia Elizabeth wa II wa Uingereza.
Zamani mkoa wa Tanga ulikuwa ni Sehemu ya mkoa wa Pwani Bagamoyo ambayo ipo katika nchi ya Tanganyika.
TANGANYIKA BILA ZANZIBAR INAWEZEKANA
Maoni
Chapisha Maoni