DENI LA TAIFA LAONGEZEKA MPAKA SHILINGI TRILIONI 98, Hofu ya wananchi pesa Zimekwenda wapi?.
DENI LA TAIFA LAONGEZEKA.
Hofu ya Wananchi pesa wamepeleka wapi?, Kwani Hakuna Miradi mipya iliyo maliza pesa.
DENI LA TAFA AWAMU YA SITA, NI SHILINGI TRILIONI 98, ONGEZEKO NI SHILINGI TRILIONI 37, LAKINI HAKUNA KITU CHA MAANA KILICHOFANYIKA, JE SAMIA SULUHU HASANI ANASTAHILI KUENDELEA KUONGOZA NCHI?
Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassani, deni la Taifa limefika Shilingi trilioni 98, kutoka Shilingi Trilioni 61,Ongezeko ni Shilingi Trilioni 37, lakini hakuna kitu cha maana kilichofanyika.Kwani hakuna Miradi mipya, iliyomaliza pesa, Miradi yote iliyokamilishwa ilikuwa imeshaanza, na kufikia asilimia kadhaa.
Sasa jiulize Samia amepeleka wapi Fedha nyingi kiasi hicho, Kiasi cha Shilingi trilioni 37. za mkopo, Zilizopelekea Deni la Taifa Kufika 98.
Pia jiulize kama Tutamwongezea Miaka mingine mitano Deni la Taifa Litafika Shilingi Trilioni ngapi, pia katika deni hilo likaloongezeka miaka mitano ijayo Samia Suluhu Hassani atafanya nini cha Maendeleo kitakachoonekana ili wananchi tuwe na uhakika wa matumizi ya Fedha zetu na mahali zinapokwenda.
Maoni
Chapisha Maoni