KATAZO: HAKUNA KUSAFIRISHA WALA KUUZA MAZAO YA CHAKULA NJE YA NCHI YAMELIMWA NCHINI TANGANYIKA YABAKI TANGANYIKA.
WAKULIMA WAMEANZA KUVUNA NA KUHIFADHI MAZAO MBALIMBALI YA KILIMO NCHINI TANGANYIKA.
HAKUNA KUUZA MAZAO YA CHAKULA NJE YA NCHI, YAMELIMWA NCHINI TANGANYIKA YABAKI TANGANYIKA.
Mazao yaliyolimwa Nchini Tanganyika ni chakula cha watanganyika yasiuzwe nje ya nchi.
Muda huu wakulima wameanza kuvuna na Kuhifadhi mazao mbalimbali ya kilimo, katika mikoa mingi hapa Tanganyika, Mazao haya ni Kwaakijili ya chakula ndani ya nchi ya Tanganyika kasababu yamelimwa katika ardhi ya Tanganyika, hivyo yanapaswa kubaki nchini Tanganyika. Yasiuzwe wala kusafirishwa nje ya nchi, kama nchi nyingine wanataka kuleta mazao yao walete ila, mazao ya chakula yaliyolimwa Nchini Tanganyika yasiuzwe nje ya nchi.
SABABU ZA KUPANDA KWA UNGA WA MAHINDI, MCHELE , MAHARAGWE, MAFUTA YA KULA NA NGANO
Mazao ya chakula yanapovunwa huwa yanauzwa nchi za nje hasa nchi za Kiarabu, kwasababu katika nchi za Kiarabu watu wao huwa ni wavivu kulima, wanakuja kununua kwetu, wengine wanamiliki mashamba nchini, hivyo tumezuia mazao ya chakula kusafirishwa kutoka Tanzania kwenda nje ya nchi.
Kama agizo hili litakiukwa nitatoa adhabu Kwa wale waliokaidi.
Maoni
Chapisha Maoni