KATAZO LA MILELE: HAKUA KUUZA MADINI YA CHUMA YALIYOPO LIGANGA MKOANI NJOMBE NCHINI TANGANYIKA.
KATAZO LA MILELE:
Hakuna kuuza wala kumpa mwekezaji mgodi wa madini ya chuma yaliyopo Liganga mkoani Njombe, nchini Tanganyika.
ONYO KALI KWA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA, SELEMANI JAFO NA WATU WOTE WANAOITAMANI CHUMA YA LIGANGA YA MKOANI NJOMBE NCHINI TANGANYIKA.
Hiyo chuma ya Liganga mkoani Njombe nchini Tanganyika, isipewe mwekezaji wala isiuzwe, hiyo chuma ibaki hapo hapo Liganga Njombe, na kama itachimbwa, ichimbwe kidogokidogo na wahunzi wa Tanganyika kwaajili ya kutengeneza majembe kwaajili ya wakulima wa Tanganyika, pia majembe hayo yatumike nchini Tanganyika, yasiuzwe nje ya nchi.
Maoni
Chapisha Maoni