PARE IRUDI TANGA, KAMA ILIVYO KUA ZAMANI ILI KUMALIZA VITA.
HII VITA HAI ISHI NI TANGU MABABU NA MABABU.
WATU WANADHANI NI UTANI.
WAPARE KUTOKA TANGA NA WACHAGA KAMA INAVYOFAHAMIKA NI MWENDO WA VITA TU.
WAPARE DHIDI YA WACHAGA WAMEUNDA NA MAGRUP, KUENDEKEZA VITA.
ILA KWA KIFUPI ANAYEENDEKEZA VITA HAPA NI MPARE, ANDIKA MAHALI USIJE KUSAHAU BAADAE.
PIA NAKUMBUSHA TU KUWA PARE ILIKUWA SEHEMU YA MKOA WA TANGA, BAADAE ILIUNGANA NA MOSHI KISHA KUUNDA MKOA WA KILIMANJARO.
NI VEMA PARE IKARUDISHWA TANGA.
Maoni
Chapisha Maoni