TANGANYIKA NA KENYA HAINA KIZUIZI CHA MPAKA



VIZUIZI VYA MPAKA KATIKA NCHI ZINAZOIZUNGUKA TANGANYIKA.

Nchi zote zinazoizunguka Tanganyika zimetenganishwa na Maji ya ziwa au mto isipokuwa nchi ya Kenya, 

Nchi ya Kenya na Tanganyika haina kizuizi cha Mpaka. Mtu anaweza kutoka Tanganyika kwenda Kenya kwa Ujasiri mkubwa, Pia anaweza kutoka Kenya Kuja Tanganyika kwa Ujasiri mkubwa. 

Pia eneo La  mpaka wa Kenya na Tanganyika ni kubwa sana Ukianzia Tarime Mara, Mpaka Tanga Tofauti sana na nchi nyingine zote zinazoizunguka Tanganyika.


ANGALIA ORODHA YA NCHI KUBWA ZINAZOPAKANA NA TANGANYIKA NA VIZUIZI VYAKE, 

1.MPAKA WA KENYA NA TANGANYIKA- HAUNA KIUZUIZI.

2.MPAKA WA TANGANYIKA NA MSUMBIJI- MTO RUVUMA NI KIZUIZI

3. MPAKA WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO NA TANGANYIKA- KUZUIZI NI ZIWA TANGANYIKA 

4. MPAKA WA UGANDA NA TANGANYIKA - KIUZUIZI NI ZIWA VICTORIA.

5.MPAKA WA ZAMBIA NA TANGANYIKA - KIUZUIZI NI ZIWA NYASA

Vinchi vidogo kama Rwanda na  Burundi ni mikoa ya nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KONGO.

Kanchi  kadogo ka Malawi ni mkoa wa nchi ya Zambia.





Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Waislamu hupiga kelele msikitini kila baada ya saa kadhaa

HISTORIA YA TANZANIA

TANGANYIKA IKO KWENYE VITA DHIDI YA NCHI TATU(ZANZIBAR, ZAMBIA NA MALAWI)