HAIRUHUSIWI KWA JESHI LOLOTE KUTOA MAFUNZO YA KIJESHI NCHINI TANGANYIKA
HAIRUHUSIWI KWA JESHI LOLOTE KUTOA MAFUNZO YA KIJESHI NCHINI TANGANYIKA
Kuna hali ya Taharuki na ukosefu wa Imani na Majeshi yote ya Tanzania, hivyo nimesitisha Shughuli zote za mafunzo ya kijeshi na mazoezi Kwa Majeshi yote ya Tanzania, Katazo hili linakwenda sambamba na kuyafuta Majeshi yote ya Tanzania kufanya Shughuli za ulinzi ndani ya Tanganyika.
Hairuhusiwi Kutolewa mafunzo ya kijeshi kwa Raia yeyote nchini Tanganyika, watakao kiuka maagizo haya adhabu kali itatolewa dhidi yao.
https://mbobezi584.blogspot.com/2025/06/hairuhusiwi-kwa-jeshi-lolote-kutoa.html
Maoni
Chapisha Maoni