MAANA YA MAJINA YA NCHI MBALIMBALI ZA AFRIKA
MAANA YA MAJINA YA NCHI MBALIMBALI ZA AFRIKA.
1.KENYA Ni lugha ya Kiswahili maana yake ni Akiwa anakunya(Wakati akijisaidia haja kubwa). Jina lilitokana na vita vya maumau.
2.Tanganyika, Ni lugha ya kiswahili maana yake ni kuhangaika bure bila mafanikio yoyote. ilitokana na tabu walizopata waingereza walipojaribu kutawala katika nchi hiyo.
3.Angola ni neno kutoka Lugha ya Kireno yenye maana ya Sasa au Muda huu. muda mwingine hutamkwa Agora.
4.Uganda ni Kiswahili maana yake ni Kuganda hii ilitokana na Historia ya eneo hilo watu waliokuwa wanaganda endapo wanakuwa wamefanya makosa mbalimbali Hata Wazungu waliokuwa wanaojaribu kuja kutawala walikumbwa na tatizo la Kuganda kama mawe.
5.Zambia(Mbeya) ni neno kutoka Lugha ya Kiswahili maana yake ni umbea, Kwa kumbukumbu Zaidi eneo la Mpaka wa Zambia na Tanganyika linaitwa mbeya hadi Leo.Jina Zambia lilitokana na Wakazi wa nchi hiyo kupenda Tabia ya Umbea.
6. Malawi, maana yake ni Mapenzi(Ngono) ni neno kutoka Lugha ya Kichewa ambayo inazungumzwa sana nchini humo, neno lilitokana na Wakazi wa nchi hiyo kupenda Tabia ya Ngono hadi leo hii hawajabadilika.
7.Mocambique imetokana na lugha ya Kireno yenye maana ya Mwanamke mrembo. hii nikutokana na Historia ya nchi hiyo kwamba mwanamke ndiye anayeongoza familia, Huku baba akiwa hana nguvu yoyote katika familia.
8.Sudani, maana yake ni kuwezekana. Yani jambo linalowezekana.
9.Ethiopia maana yake ni mtu mweusi. Jina limetokana na Moja wapo ya lugha za nchi hiyo.
10.Botswana maana yake ni KULEA WATOTO.
11.ZIMBABWE, maana yake ni kuhitaji Sauti ya Simba.
12.NAMIBIA, maana yake ni kuiba au Wizi. Ilitokana na tabia ya wizi waliyonayo wakazi wa nchi hiyo, wakazi wa Namibia wengi ni majambazi na wenye tamaa na vitu vya watu, inayopelekea kupata tamaa na kuiba vitu vya watu.
https://mbobezi584.blogspot.com/2025/06/maana-ya-majina-ya-nchi-mbalimbali-za.html
Maoni
Chapisha Maoni