NIMEYAFUTA MAJESHI YOTE YA TANZANIA.Hakuna Jeshi Tanganyika, nchi inalindwa na Mizimu,Jeshi lililopo ni la Vibaraka wa wazungu.


NIMEYAFUTA MAJESHI YOTE YA TANZANIA KUFANYA SHUGHULI ZA ULINZI TANGANYIKA MILELE KUANZIA TAREHE 18/06/2025.

 HAKUNA JESHI TANGANYIKA, NCHI INALINDWA NA MIZIMU.

Huyu Mkuu wa majeshi, Jacob John Mkunda, Majeshi yote yani Jeshi la wananchi Tanzania pamoja na Jeshi la kujenga Taifa na POLISI wote Hakuna Kitu wanachokifanya, wanakula mishahara ya bure watafute kazi nyingine za kufanya.

Nchi inachezewa Tangu enzi za Nyerere hadi Leo hii, Viongozi wakuu wa Jeshi hawana utofauti na wale waliotanguia.

Nchi haina ulinzi wowote, wageni wanafanya wanachokitaka Kwa mwamvuli wa Jeshi la Tanzania.

Hairuhusiwi Kutolewa mafunzo ya kijeshi kwa Raia yeyote nchini Tanganyika, watakao kiuka maagizo haya adhabu kali itatolewa dhidi yao.


Jeshi la Tanzania ni kibaraka wa wazungu, Hata Viongozi wakuu wa Jeshi la Tanzania wamekuwa wakipokea Amri kutoka Nchi za Ulaya.

Jeshi la Tanzania limekuwa likitumika Kuendeleza ukoloni na wizi wa rasilimali, Wanajeshi wa Tanzania wamekuwa wakionekana katika hafla za kusaini mikataba haramu kama mikataba ya kuuza Bandari na mikataba ya uchimbaji wa madini inayohusisha wizi wa rasilimali na maslahi duni kwa Tanganyika.

https://mbobezi584.blogspot.com/2025/06/nimeyafuta-majeshi-yote-ya.html

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Waislamu hupiga kelele msikitini kila baada ya saa kadhaa

HISTORIA YA TANZANIA

TANGANYIKA IKO KWENYE VITA DHIDI YA NCHI TATU(ZANZIBAR, ZAMBIA NA MALAWI)