USIPIGE KURA TAREHE 29 MWAKA 2025. NDIO MSIMAMO WETU.
MSIMAMO WETU NI KWAMBA TAREHE 29 OKTOBA 2015, USIENDE KWENYE VITUO VYA KUPIGA KURA KABISA WALA USIPIGE KURA NA SIO KUANDAMANA.
Sisi sio Chadema
Kama ukienda Kupiga kura tarehe 29 OKTOBA 2025 Kisha ukapatwa na jambo baya usije ukatulaumu.
Tunanataka yafuatayo.
1.Marekebisho ya katiba kuondoa Kinga ya RAIS. Kuwe na uwezekano wa RAIS aliye madarakani kuondolewa akiwa madarakani kabla ya uchaguzi, endapo ataenda kinyume na matakwa ya wananchi.
2.Dini zote Zifutwe Tanzania.
3.Mashamba yanayomilikiwa na wazungu yarudi mikononi mwa wananchi.
Kama Uchaguzi utafanyika na kutangazwa Rais, kabla matakwa yetu hayajatekelezwa Tutafanya mapinduzi na sisi, Ndio tutachukua nchi.
https://mbobezi584.blogspot.com/2025/10/usipige-kura-tarehe-29-mwaka-2025-ndio.html
Maoni
Chapisha Maoni