PWANI YAWA NGOME YA MWARABU
MKOA WA PWANI TANZANIA Wakazi wa MKOA WA Pwani ni Waarabu. PWANI ni Ngome ya Mwarabu kwa miaka Mingi. Ukizungumzia Mkoa wa Pwani unataja wilaya za Kibiti,Mkuranga,Rufiji,Bagamoyo,KisaraweChalinze, Kibaha na Mafia PWANI ni moja ya mikoa ya tanzania yenye utawala wa waarabu(waislamu wengi), kwa kifupi unaweza kusema wandengereko, Wazaramo, na wamatumbi ni waarabu kabisa kwani asilimia 98% ni Waislamu Asilimia 2% hawana dini yoyote. Uislamu ni Uarabu hivyo kama wewe ni mwislamu uliye shika dini hiyo, wewe pia ni mwarabu, hata kama rangi na nywele zako hazifanani nao. Nasema ni waarabu kwa sababu asilimia 98% ya wakazi wa Pwani ni waislamu. Chakushangaza licha ya kwamba wakazi wa Pwani waliowengi ni waislamu lakini hakuna waarabu. Achana na dini ili Tanzania iwe huru dhidi ya ukoloni wa Kisasa kupitia dini. Ikumbukukwe kuwa hata ule ukoloni wa zamani ulitanguliza dini na baadae wakaja kutawala rasmi. Kama wakazi hawa wa Pwani wasipoacha dini hizi za wazungu na waarabu wana...