Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba, 2024

TANGANYIKA

WAISLAMU WALIOPO NCHINI TANZANIA ASILI YAO NI NCHI YA OMANI, DUBAI NA SAUDI ARABIA. Wengine Wanaendelea Kuingia Tanzania Kwa njia za Panya, pia Wengine waliingia Zanzibar na Pwani miaka ya 1800's. Waislamu halisi kwa Tanzania ni wale Chotara upande wa Baba. Yani mwanamke mwafrika akazalishwa na mwarabu yule mtoto anakuwa Mwislamu mweusi, ndio hao waliopo nchini Tanzania. Waislamu walikuwepo Tanzania,hususani Zanzibar na maeneo mbalimbali ya Pwani ambayo walijenga Misikiti Tangu Kabla ya Uhuru, inasemekana kuwa Waislamu waliingia Afrika Mashariki ( Sasa Tanzania) miaka ya 1800's. SABABU YA WAISLAMU KUISHI PWANI. Kutokana na Historia yao Waislamu ya kutokuweza kusafiri umbali mrefu kwa miguu, walipokuja Pwani ya Afrika Mashariki kwa meli(Tanga)walishindwa kuendelea kutembea kwa Miguu kwenda maeneo mbalimbali hivyo wakabaki Pwani, na hii ndio Sababu kuu iliyowafanya asilimia kubwa Kuishia Kandokando mwa Bahari. Yani kiufupi ni kwamba Waislamu hawawezi kutembea Kwa miguu. Kazi Kubw...

MKOA WA TANGA

  HISTORIA YA MKOA WA TANGA Wakazi wake walitokea Pemba Zanzibar, hasa wakazi wenyeji wa Tanga ni wale Chotara. Chotara hawa walipatikana baada ya watumwa wa kike kuzaa na waarabu enzi hizo. na hawa ndio wakazi wa Tanga wa Sasa ambao wana asili ya Tanga. Biashara ya Utumwa ilikuwa ikifanyika baina ya Kusini na Afrika mashariki, watumwa walikuwa wanawake na wanaume. Mwarabu mwanaume akimzalisha Mwafrika, Nywele za mtoto huwa zinafanana na nywele za Kiafrika, hivyo inakuwa ngumu kumtambua kama mtoto huyo  ni chotara, ila kiundani ni chotara. Tanga ni wapi?  Je wakazi wake wana asili ya Tanzania? Jibu ni hapana, Wakazi wa Tanga hasa wenyeji wana asili ya uarabuni,hasa baba zao. Enzi za Sultan Zanzibar Walizaliwa chotara Waliochanganya damu na waarabu ambao Kwa wakati huo kulikua na waarabu Zanzibar.  Rangi isikuchanganye fuatilia historia ya uarabuni,pia Kuna waarabu wenye rangi nyeusi,Rangi ya maji ya kunde na wale weupe. ili kumtofautisha na Mwafrika,tunaangalia nywel...

Kichwa

MJI WA MOSHI

 MOSHI(MUSHI), MJI WA KALE AMBAO HAUNA FAIDA KWA WENYEJI NA WAZAWA. Inasemekana Mji wa Mushi(Moshi) Ndio Mji mkongwe zaidi kuliko miji yote Tanzania. Ulianzishwa mwanzoni mwa ukoloni Tanzania. German East Africa. Ikulu ya kwanza Tanzania ilijegwa na Mjerumani hapa Moshi. Serikali ya Kijerumani kwa kushirikiana na Dola la Rumi(Roman Empire),Waliweza kutawala. Ujerumani ilikuwa chini ya Dola la Rumi, Kwahiyo wajerumani walitawala Tanzania kwa mwamvuli wa Dola la Warumi, ambalo lilikuja Kuanguka miaka michache Baadae. Lakini Baada ya Dola la Rumi Kuanguka,Ndipo Tanzania ilipotwaliwa na Uingereza, ambao waingereza walijenga Zaidi Dar es salaam. Sababu za Waingereza Kujenga Ikulu ya Dar es salaam ni kwamba, Walihofia kuwa Dola la Warumi lingeweza kuinuka tena na kurudi Mushi, Sasa sababu ya Waingereza Kujenga Ikulu ya Dar es salaam, ilikuwa ni Mipango yao kwamba kama Warumi watarudi Mushi(Moshi) basi wangegawana  kwamba Uingereza  wabaki Pwani alafu Warumi Wabaki Mushi. Kumbuk...

HISTORIA YA TANZANIA

HISTORIA YA TANZANIA . Tukisema Tanzania tuna maanisha Kisiwa cha Unguja na Kisiwa cha Pemba. Wenyeji wake ni wale wanaofuata Mfumo jike(matrilinear), na watoto wote wanahesabika kuwa ni wa ukoo wa Mama. Idadi yao kwasasa ni kubwa sana, wengine wamevamia mikoa mbalimbali ya nchi ya Tanganyika. MUUNGANO WA KISIWA CHA PEMBA  NA KISIWA CHA UNGUJA AMBACHO ZAMANI KILIITWA ZANZIBAR, NDIVYO VILIO UNDA NCHI YA TANZANIA. Kisiwa cha Zanzibar, Unguja sio nchi Lakini kilivyoungana na Kisiwa cha   Pemba ndio ikaundwa nchi ya Tanzania, ambayo mpaka sasa bado haijapata uhuru. Hussein Mwinyi si RAIS bali ni Mkuu wa Mkoa wa Kisiwa cha Zanzibar.Maana kimataifa Zanzibar inajulikana kama Sehemu ya Tanzania, hata kwenye Passport na Visa za wazanzibar kwenye kipengele cha Nationality wanajaza Tanzanian.  Tanzania ni wapi?  Zamani kisiwa cha Pemba kilikua kinaitwa Tanga na Unguja ilikuwa inaitwa Zanzibar, Kisiwa cha Zanzibar ambacho kwa sasa wengi wana kijua kama kisiwa cha Unguja...

Vipele

Kichwa

Mgongo

Mahari

 MAHARI

HISTORIA YA WAMWERA