TANGANYIKA HURU
TANGANYIKA HURU. Tanganyika ni nchi huru inayojitegemea, haina Rais wala Serikali. Kwakuwa ni nchi huru, pia wananchi au raia wa Tanganyika ni huru. Nchi ya Tanganyika haina dini, Pia wananchi wa Tanganyika hawana dini yoyote. Kwakuwa Tanganyika ni nchi huru tuliamua kusiwe na ukabila na Makabila, hivyo Tanganyika haina Makabila, raia wake wapo huru wanaishi kwa upendo na mshikamano. Nchi ya Tanganyika haijawahi kutawaliwa. ILIKUWAJE? Julius Kambarage Nyerere alipoletwa na Waingereza kutawala, alipata changamoto kubwa sana, ikabidi waingereza wasitishe zoezi la kuitawala TANGANYIKA kupitia Julius Kambarage Nyerere mwaka 1962. Badala yake walianzisha Taifa Dogo la Tanzania. Lililotokana na kuunganisha visiwa viwili vya Unguja na Pemba, Kisha kuvipa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Licha ya kufanya hivi Bado hali imeendelea kuwa ngumu. TANGANYIKA NI NCHI HURU .