Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2023

HISTORIA YA TANZANIA

HISTORIA YA TANZANIA MUUNGANO WA PEMBA AMBAYO ZAMANI ILIITWA TANGA NA UNGUJA AMBAYO ZAMANI ILIITWA ZANZIBAR, ULIO UNDA TANZANIA. Zanzibar sio nchi Lakini ilivyoungana na Pemba ndio ikaundwa nchi ya Tanzania, ambayo mpaka sasa bado haijapata uhuru. Hussein Mwinyi si RAIS bali ni Mkuu wa Mkoa wa Zanzibar.Maana kimataifa Zanzibar inajulikana kama Sehemu ya Tanzania, hata kwenye Passport na Visa za wazanzibar kwenye kipengele cha Nationality wanajaza Tanzanian.  Tanzania ni wapi?  Zamani kisiwa cha Pemba kilikua kinaitwa Tanga na Unguja ilikuwa inaitwa Zanzibar, Kisiwa cha Zanzibar ambacho kwa sasa wengi wana kijua kama kisiwa cha Unguja kilikua ni kisiwa chenye sokwe wakubwa. Baadae kisiwa cha Tanga ambacho sasa kinaitwa Kisiwa cha Pemba waliungana na kisiwa cha Zanzibar ambacho sasa kinajulikana kama kisiwa cha Unguja,Ndipo likapatikana neno Tanzania Kwa kuunganisha Tanga+Zanzibar.  Sababu za Nyerere kuhusika katika kuchanganya udongo wa visiwa vya Tanga na Zanzibar ni kuto...

WALUTHERI NI DHEHEBU LA KISHETANI

Picha
  DHEHEBU LA WALUTERI(K.K.K.T) NA PENTEKOSTE NI MADHEHEBU YA KISHETANI MAKALA YA KUSISIMUA WALUTERI (Kwa kiingereza Lutheran) au kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania(Kwa kifupi K.K.K.T) ni miongoni ya Dhehebu linalopatikana Tanzania na ni miongoni mwa madhehebu yanayoamini katika kuongozwa na viumbe visivyoonekana(Majini). wao huamini kwamba viumbe Hawa wanaishi katika miili ya binadamu,hivyo muda mwingi wachungaji wa madhehebu ya Kilutheri katika ibada zao hukemea viumbe hawa wasioonekana.  Pia muda mwingine wachungaji hawa hutumia viumbe hawa hawa wanao wakemea katika kufanya miujiza, na kuhubiri injili.  Wachungaji hutumia majini kudondosha watu kanisani(wanawake na wasichana) kwa kudai ni miujiza na wamewatoa mapepo. Yani kama mchungaji huyu atakunasa katika mtego wao wa kimajini na Mapepo, basi atakuwa kakuweza na utakuwa muumini katika Dhehebu hilo kwa lazima.  Injili zao ni za kulazimisha na wanapenda kulazimisha watu kujiunga nao hata wale waliopo kwenye ...

Ukabila na Makabila Tanzania

UKABILA NA MAKABILA TANZANIA  Kabla ya Ukoloni watu wa Afrika tulikua tunaishi Kwa amani bila migogoro ya kikabila,lakini mzungu alivyoingia Afrika alitugawa Kwa misingi ya kikabila na kikanda na Kidini. Lakini mwalimu Julius Kambarage Nyerere Rais wa kwanza wa Tanganyika kwakua alikuwa amesoma alifahamu athari za Makabila na ukabila, hivyo alijaribu kukataza na kufuta Makabila na ukabila. Hata hivyo baada ya Nyerere kufariki, wazungu walikuja Tena Tanzania na kujaribu kufufua Makabila ambayo kimsingi hugawa na kusabisha migogoro. Wazungu hufurahi wanapoona mwafrika ametumbukia katika migogoro ya kikabila. Hivyo waafrika Asilia tunatakiwa tuondoe ukabila na Makabila ilintuishi Kwa amani.