Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba, 2023

WASERI

  WASERI Waseri  ni kabila linalopatikana katika mkoa wa Kilimanjaro hasa katika wilaya ya Rombo.Lugha yao rasmi ni kiseri.  Kama ni mtu mmoja anaitwa "Mseri'' Waseri wanajishugulisha na kilimo, ufugaji,biashara na kazi za ofisini pia huweza kufanya kazi zingine kama vile ufundi nk.  Katika maeneo mengine ndani ya kilimanjaro waseri wanapatikana kwa uchache.  Mahali wanapoishi waseri panaitwa  Useri  hata kama ni mikoa mingine, hivyo katika Kilimanjaro Useri inaanzia kirongo na kuchukua eneo lote la Kaskazini, Mashariki na Magharibi mpaka Tarakea,Rongai na Holili.  Katika maswala ya Tamaduni Waseri wamejikita katika Matambiko ya mizimu ambayo kwa lugha yao huitwa  Mtete . Matambiko ya waseri hufanyika muda wowote katika mwaka.  Chakula cha asili cha waseri ni Kitheri,umberere,mabande,ngolowo,romboe,ng'ande na Mtori.Hata hivyo kwa sasa Mtori unaliwa na watu mbalimbali ambao sio waseri na hupikwa mahotelini kama chakula. Jina Rombo limetok...

Dawa ya kutibu kifo

  DAWA YA KUTIBU KIFO Kuna waganga wa Jadi wa Kirombo waliokuwa wanaweza kutengeneza dawa ya kifo. Hata sasa waganga hawa wapo. Dawa hii ya kienyeji ya kutibu kifo  inaitwa MBIKUU. Pia UKIMEZA MBIKUU Hauzeeki kabisa. Mbikuu inazuia kuzeeka na kufa. Yani hawa waganga ni nomaa yani ukimeza hii dawa utafurahia maisha yako. Zamani Kulikuwa na waganga wa Jadi wa Kirombo waliokuwa wanaweza kutengeneza dawa ya kifo hata sasa bado wapo. Yani hawa waganga ni nomaa yani UKIMEZA MBIKUU  unakuwa na uwezo wa kuishi miaka zaidi ya mia tatu, lakini inamasharti makali sana ukivunja masharti hayo unaoza ukiwa hai. Pia kingine ukitamani kufa, kuna dawa nyingine utameza alafu utatapika MBIKUU alafu ndipo utazeeka na kufa. Pia mbikuu huzuia mtu kukuua kwani akijaribu kukuua Jambo hilo humgeukia yeye mwenyewe. Watu wa sikuizi hawataki kumeza mbikuu, labda ni kwasababu ya masharti yake kwasababu ni dawa ya kiasili. Mbikuu Ina masharti yasiyo magumu lakini yenye vipengele.

Waseri

  WATU WA KILIMANJARO WASERI  MAKALA Waseri au Warombo ni kabila linalopatikana kaskazini mwa mkoa wa Kilimanjaro,lugha yao rasmi ni kiseri. Waseri wanajishugulisha na kilimo, ufugaji,biashara na kazi za ofisini. Pia wanaweza kufanya kazi zingine kama ufundi n.k Waseri wanapatikana kwa wingi kaskazini zaidi mwa mkoa wa Kilimanjaro hususani maeneo ya Kirongo, Tarakea,Rongai na Holili. Kiseri ni miongoni mwa makundi ya lugha za kibantu yaliyoainishwa na Malcolm Guthrie.

HISTORIA YA MKOA WA KILIMANJARO

 MKOA WA KILIMANJARO Kabla ya Uhuru Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa ni sehemu ya Jimbo la kaskazini (Nothern Province) lililokuwa linaundwa na wilaya za Arusha na Mbulu, Wakati wilaya ya Pare ilikuwa sehemu ya jimbo la Tanga (Tanga Province). Mkoa wa Kilimanjaro ulianzishwa rasmi mwaka 1963 kwa Tangazo la serikali Na.450 la mwaka huo ukiwa na wilaya za Kilimanjaro na Pare. Wakati nchi yetu inapata Uhuru tarehe 9/12/1961 Mkuu wa jimbo la Kaskazini (Provincial Commissioner ) alikuwa Mhe.PC Edward Barongo ambaye aliongoza hadi 1963 na kufuatiwa na Mhe. Peter Kisumo, Mkuu wa Mkoa wa kwanza wa Mkoa wa Kilimanjaro. HISTORIA YA WACHAGA WENYEJI WA MKOA WA KILIMANJARO NA ARUSHA Wachaga ni wenyeji asilia wa mkoa wa Kilimanjaro, wachaga hawana dini yoyote pia hawahitaji dini. TOFAUTI KATI YA WAGENI WAENEZA DINI NA WENYEJI ASILIA WA KILIMANJARO YANI WACHAGA Wageni waeneza Dini hujitambulisha kama wenyeji kwa kabila na Majina ya asili ila ni rahisi kuwajua Kwani huwa ni watu wa Dini na mara nyi...

USIJENGEE MAKABURI Soma zaidi........

Picha
 MSIJENGEE MAKABURI YAACHENI YASINYAE MAISHA YAENDELEE NAWAKUMBUSHA TU Enzi ya zamani hapa Useri hatukuwa tunajengea makaburi ila Ilikuwa mtu akifa anazikwa alafu Lile kaburi lake likisinyaa tu, eneo Hilo tunaweza kulifanyia matumizi mengine kama kulima migomba mahindi na mihogo, sisi Waseri halisi tunakula mihogo. Wachaga walivyokuja Useri wakitokea huko Moshi na maeneo mengine walikuja na Desturi zao za kishamba za kujengea makaburi. makaburi ya wachaga siku zote huwa yanatisha sana hivyo hawawezi kujenga au kuendeleza eneo alilozikwa mtu labda wamfukue. Sasa endelea kujengea makaburi alafu uone jinsi hapo kwenu kutakavyo pendeza. Nikiwaambia Kuna tofauti ya waseri na wachaga muwe munaelewa. Mangi Salakana alikuwa mchaga asili yake ni Marangu.Muhimu zaidi nitakuja kuwaeleza kuwa Mangi Salakana Useri alifata nini na aliletwa na nani. LEO NAONA NITOBOE SIRI AMBAYO IMEFICHIKA KWA MUDA MREFU Kiufupi ni kwamba Waseri hawakuwa na Mangi wala Uongozi wowote. Bali Koo mbalimbali ziliunda ...

WAZUNGU WANALETA WENYEWE Soma zaidi......

WAZUNGU NI WAJINGA,WANALETA WENYEWE. Fedha zinazotolewa na Marekani au nchi za ulaya kuja Tanganyika sio misaada, Bali Fedha hizo ni haki yetu sisi watanzania, pia Fedha hizo ni zetu. Maisha yao sisi ndio tumeyashikilia, na siku wakiacha kuleta hizo Fedha kuna jambo baya huweza kuwatokea. Usiulize kwanini. Hakuna mtu anaweza kumpa mtu Fedha bure hata wewe huwezi kutoa fedha yako bure. Imetolewa na Umoja wa viongozi wakuu wa Tanganyika kabla na baada ya uhuru. Majengo Moshi Tanzania

Adolf Faustine Mkenda

Picha
Moshi majengo Tanzania

Mbunge wa zamani wa Rombo awa Kichaa Soma zaidi....

Picha
 Mbunge wa zamani wa Rombo Joseph selasini awa KICHAA ukienda nyumbani kwake utamkuta amevaa Kanzu CHAFU NYEUPE na KOFIA za KIISLAMU pia kaweka BLEECH KATIKATI YA NYWELE ZAKE. Imetolewa na Umoja wa viongozi wakuu wa Tanzania kabla na baada ya Uhuru Majengo Moshi Tanzania.