UINGEREZA INAMPANGO WA KUTAWALA TANGANYIKA,LAKINI HAWATAWEZA KUTAWALA,NA WATAISHIA KUSHINDWA.
UINGEREZA INAMPANGO WA KUTAWALA AFRIKA JE WATAWEZA? UINGEREZA HAITAWEZA KUTAWALA TANGANYIKA,WATAISHIA KUSHINDWA. NAMPA ONYO KALI MFALME WA UINGEREZA KWAMBA ANAKWENDA KUPATA HASARA HIVI KARIBUNI NA ATAJUTA. Charles wa III wa Uingereza na Mama yake Malkia Elizabeth wa II, walianza kusuka Mipango ya kutawala Afrika hasa Tanganyika, Kenya na Afrika kusini tangu miaka ya 1960, Licha ya kwamba wao walisha achia uhuru wa mataifa hayo,Lakini waliendelea kubaki na kutawala Kwa mwamvuli wa wenyeji kama akina Julius Kambarage Nyerere. Waingereza wamekuwa wakiwatumia waislamu katika kueneza Propaganda na Uasi kisha kutawala. Nchi za Kiarabu Zina uhusiano mkubwa na Ufalme wa Uingereza, Pia uhusiano huo ni Kwa maslai ya Uingereza Kwani huwatumia katika Uasi na Propaganda hata Sultan wa Omani ambaye alikuwa anatawala Zanzibar aliletwa na waingereza.Hata cheo cha sultan wa Zanzibar alipewa na Waingereza. Hata hawa watu wanaojiita Samia Suluhu Hassani asili yao ni Omani, Lakini waliandaliwa...