USERI Useri inaanzia Kirongo, Tarakea, Rongai Mpaka Holili. Useri ni maeneo ya Kirongo, Tarakea Mpaka Holili, Useri kirongo juu,Useri, kirongo, Kirongo chini,Ubetu,Ubetu Kahe, Kahe useri, Useri Kingachi, Kingachi,Leto,ubetu Kilawohi,Mashima chini, Mashima juu,Tarakea Urauri,Reha,Naiyeme, Tarakea chini,Tarakea Motamburu, Tarakea juu na Holili. Watu wa maeneo hayo wanaitwa waseri, waseri wanazungumza lugha yenye lafudhi moja. Lugha hiyo inaitwa kiseri. Waseri sio watu wa dini, Waseri ni watu wa Matambiko ya mizimu tangu zamani hadi sasa. Waseri ndio wenyeji asilia wa kilimanjaro. Jina Kilimanjaro limetokana na Lugha ya kiseri Kilimanjaro lenye maana ya mlima wa mizimu. WASERI Waseri ni watu wa Kaskazini ya Kilimanjaro. Kuanzia Kirongo kuelekea Kaskazini zaidi mpaka Rongai pia Holili. Kuna lugha inayozungumzwa na watu wa maeneo ya Useri kirongo juu,Useri, kirongo, Kirongo chini,Ubetu,Ubetu Kahe, Kahe useri, Useri Kingachi, Kingachi,Leto,ubetu Kilawohi,Mashima chini, Mashima juu,Tarak...